Search results

  1. N

    Kiwanja kinauzwa Kibamba CCM

    kibamba upande upi ukitoka mbezi? kulia au kushoto? na umbali gani kutoka barabara ya lami?
  2. N

    Bajaji inauzwa.

    bei muhimu sana, kukupigia itakuwa ngumu weka bei tufanye biashara
  3. N

    Line ya M-Pesa Tsh Laki moja tu

    Ebu tueleze kidogo kuhusu hii biashara, commission yake ikoje! unaweza pata faida kiasi gani kwa mwezi au unawanufaisha tu mwenye mitandao? hasa Airtel money ambayo hakatwi mtu, commission hapo inatoaka wapi!
  4. N

    Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

    okay, ngoja nifanye mchakato kama nitampata mdau aje azicheki tufanye biashara, mi nipo Lindi, ila naamini zinapungua bei pia.
  5. N

    Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

    zipo mkoa gani!
  6. N

    Msaada kuhusu TANROADS DODOMA.

    Ilifanyika tar 21/12/12 kwenye nafasi ya assistant accountant, mi nillitwa! pole klama ujaiitwa adi leo.
  7. N

    Natafuta gari ya thamani ya 5m (five milion)

    upo seroius au unabip! watu tunaangalia bodi tu! kama upo serious sema tufanye biashara
  8. N

    Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

    Yaani unataka kuniambia una umri zaidi ya miaka 35 na ujawahi kufanya interview! walisema kwenye hii post waombe kuanzia umri wa miaka 35 mpaka 40! ok, all the best, we tulia tu na uwaoe kama watu wa kawaida tu
  9. N

    Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

    ukiwa Lindi, fika Darajani bar, likotwa bridge, aka Stamford bridge! fully kujilamba!
  10. N

    Hilux double cabin 2.8 inauzwa bei poa sana

    ipo mkoa gani!
  11. N

    Nauza projector bei 200,000

    bado ipo! au umeshauza
  12. N

    Suzuki Escudo For Sale

    5.2 m kama upo serious nipm tufanye biashara
  13. N

    Toyota surf sokoni

    weka bei mkuu na other specifications kama mwaka, imeingianchini lini nchin, engine capacity,
  14. N

    Gari sokoni

    picha mdau na othe specifications ni muhimu pia kama km ngapi na nk
  15. N

    Kiwanja kinauzwa segerea mzimuni

    kina ukubwa gani!
  16. N

    Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

    kwenye kitambi si utamfanyia diet na gym!
  17. N

    Viwanja vya bei nafuu

    bunju b sehemu gani, karibu na nini na ni upande gani toka tegeta, umbali gani toka barabara ya lami!
  18. N

    Gari biashara

    inapungua mpaka ngapi! 6m unachukua
  19. N

    Suzuki carry Inauzwa

    weka bei
  20. N

    Toyota Caldina Inauzwa

    weka picha tufanye biashara!
Back
Top Bottom