Search results

  1. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Kwa matukio haya ya kuhatarisha usalama wa raia, Rais kama amri jeshi mkuu awajibishwe

    Kwa matukio haya ya utekaji mfano Roma Mkatoliki, kupotea kwa watu mfano Ben Saanane, vitisho ikiwemo kitendo cha kuoneshwa silaha (bunduki) kama kitisho kwa Nape na hadi sasa hakuna aliyefikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa matukio la Roma na Nape na sasa tumeshuhudia jaribio la mauaji la...
  2. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho Jumatano

    PRESS CONFERENCE: Kesho Tarehe 6/9/2017 saa 5 Asubuhi katika Ofisi ya Wabunge wa CUF, Magomeni -Dar es Salaam. THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) Kitazungumza na waandishi wa Habari kuelezea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini. Pia Wabunge 8 wa Viti Maalumu walioondolewa...
  3. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Tanzania needs a new constitution now

    Written by Mwl Razaq Mtele Malilo The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee. We certify Kenya propels into prodigious political change not for the...
  4. Mwl Razaq Mtele Malilo

    WILL KENYATTA PROTECT HIS RESPECT?

    Written by Mwl Razaq Mtele Malilo. I termed Kenyatta as the father of democracy in East and Centra Africa, but now he starts to speak hocus pocus. Kenyatta must acquiesce the supreme court's decision though it is sturdiest judgement and cataclysmic event come to pass for him but the supreme...
  5. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Mwanafunzi wa DUCE mwanaCHADEMA atiwa mbaroni

    KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI. Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE. Joshua Mgallah kwa...
  6. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Kilichotokea uchaguzi wa DARUSO ni ishara kuwa CCM imechakaa

    KILICHOTOKEA UCHAGUZI WA DARUSO-MLIMANI (UDSM) NI ISHARA KUWA CCM IMECHAKAA Na Mwl Razaq Mtele Malilo Tarehe 20/4/2017 kulikuwa na uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (CKD) maarufu kama UDSM, uzinduzi uliofanyika katika viunga vya...
  7. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Maalim Seif: Lipumba anatumika na Chama Tawala(CCM) kudhoofisha Upinzani

    KATIBU MKUU, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HOTELI YA RAMADA: ========= 11:30: Maalim anaanza kuzungumza Nimekuja kufichua mbinu chafu za Lipumba" Takriban wiki sasa nimekuwa na ziara ya kuimarisha chama Unguja na Pemba. ⁠⁠⁠Nimekatisha ziara ili kuja...
  8. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF weekly report

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF–Chama Cha Wananchi) THE DIRECTORATE OF INFORMATION, PUBLICITY AND PUBLIC RELATION P.O.BOX 10979 DAR ES SALAAM TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa leo Tarehe 13/3/2017 Na. Kurugenzi ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma-CUF Taifa MAPITIO YA...
  9. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF UDSM yatoa pongezi kwa ajili ya uchaguzi wa Lindi

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) JUMUIYA YA VIJANA (JUVICUF) CUF VYUO VIKUU TAWI LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI-UDSM) PONGEZI NYINGI KWA WANALINDI, CUF NA UKAWA KWA UJUMLA CUF Chama Cha Wananchi tawi la Mlimani Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam tunayofuraha kubwa juu ya...
  10. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF vyuo vikuu tawi la Mlimani - UDSM

    JUMUIYA YA VIJANA (JUVICUF) CUF TAWI LA CHUO KIKUU CHA DSM - UDSM (MLIMANI) inawajulisha wanachama wote wa CUF na watanzani wengine kuwa tumeunda ukurasa wetu maalumu wa Facebook ujulikanao kama CUF-TAWI LA MLIMANI - UDSM Ili kupata taarifa zetu tafadhali fuata hiyo link ili kupenda au...
  11. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Diwani wa Vingunguti, Mhe. Omari Saidi Kumbilamoto ni mfano wa kuigwa

    OMARI S KUMBILAMOTO DIWANI BORA AIGWE NA VIONGOZI WA KISIASA NA SERIKALI Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo Leo January 8-2017 nilihudhuria mkutano wa hadhara wa diwani wa Kata ya VINGUNGUTI ambaye pia ni naibu mstahiki meya wa manispaa ya ILALA kwa tikiti ya CHAMA CHA WANANCHI CUF MHE OMARI S...
  12. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Max Melo, mwana mapinduzi wa Tanzania?

    MAX MELLO MWANA MAPINDUZI WA TANZANIA.? Na; Noel C Shao Katika historia ya dunia tuliwahi sikia historia za wana mapinduzi, mateso waliyo wahi yapata na njia zao katika kufichua uovu, Hasa wa tawala kandamizi duniani. Wanaharakati wengi ni wafuasi wa haki dhidi ya dhuluma, ni nuru katika...
  13. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF yafafanua taarifa za upotoshaji zilizotolewa 15/12/2016

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) JUMUIYA YA VIJANA-JUVICUF CUF VYUO VIKUU TAWI LA MLIMANI (UDSM) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI imetolewa Leo tarehe 16/12/2016 Kutokana na taarifa za upotoshaji zilizotolewa 15/12/2016 zilizotolewa na mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina la...
  14. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Watu wasiojulikana

    Ameandika Mohammed Ghassani WATU WASOJULIKANA Usiombe wakujuwe, watu wasojulikana Wala wasikutambuwe, kwa sura wala kwa jina Wawe mbalimbali nawe, kwa usiku na mchana Sababu wakikujuwa Watakuja kuchukuwa Kipoloni wakutie Chatu wakamrushie Nyamunyamu akakule Nyafunyafu akumeze Hao watu...
  15. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Nani aliyeturoga?

    Nafarijika na Maneno ya aliyekuwa Rais Wa Afrika ya kusini na Baba Wa taifa hilo, Mzee Mandela aliposema "It is through education only that a son of a very poor farmer can become the President of a great nation" Mimi na watoto wenzangu Wa wakulima tuikazanie elimu huenda ikaja kutufanya tukapata...
  16. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Dalili ya mvua ni mawingu

    MSIHOFU MWANGA UNAKARIBIA Kwa wale waliosoma historia ya Mapinduzi ya Ulaya miaka ya 1600 waangalie zile sababu za mapinduzi hayo na kisha wafananishe na hali ya sasa katika nchi. Mtajifunza kuwa ukiona giza totoro ujue asubuhi inakaribia. We shall marry when we want. "When injustice...
  17. Mwl Razaq Mtele Malilo

    THRD:Statement condemning the detention of Maxence Melo, director of Jamii Media by the Police force

    STATEMENT CONDEMNING THE DETENTION OF MR MAXENCE MELO, DIRECTOR OF JAMII MEDIA BY THE POLICE FORCE -14th/12/2016 We Human Rights Defenders in Tanzania are disatified with current Government behavior on human rights, democracy, freedoms and liberties of its people. We jointly condemn the...
  18. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Tunataka siasa za kisayansi sio za dhahania

    ETI GAZETI LA TANZANIA DAIMA LIMEANDIKA "LOWASSA: TB JOSHUA AMETUTABIRIA USHINDI 2020" MIMI NAMWAMBIA LOWASSA AACHE SIASA ZA SIASA. Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo. Kwa wale waliokaribu na Lowassa nawaomba mwambieni huyu mzee wetu kuwa sisi kwa sasa tunajielewa na hizi bra bra aache afanyi...
  19. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Msemaji wa JWTZ kuteuliwa kwenye NEC ya CCM, hii imekaaje?

    NI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM? JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU. Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga. Katibu Mteule wa NEC ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga. Katiba ya...
  20. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Mwitikio wa serikali kwa mwanafunz wa Mbeya kupigwa na mwitikio kwa miili saba iliyokutwa mto Ruvu

    Yule Mwalimu Mwanafunzi wa UDSM ndaki ya DUCE aliyempiga Mwanafunzi kule Mbeya Sek.. Mwigulu alitoa tamko na yule kijana alikamatwa, Waziri TAMISEMI alitoa tamko, Ndalichako alitoa tamko la kumfukuza yule kijana japo hakuwa na mamlaka hayo kisheria, Loan Board ilijitokeza na kusitisha...
Back
Top Bottom