Search results

  1. Reghia

    Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    Superfeo ni mkinga wa njombe aliehamia ruvuma miaka mingi iliopitaaaaa Inshort wangoni wachache wapo lkn wengini n wakinga,wabena na wapangwa ndo wamemiliki songea.. wamatengo wapo kiasi hasa kule mbinga.
  2. Reghia

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb mbona hamleti mashine za mawakala kwann??
  3. Reghia

    RIP udini kwenye ajira za NSSF

    Naona sasa tunakamilisha ule usemi wa wahenga kuaa... yule jamaa aliekua mkurugenzi mkuu wa nssf alizinguaaaaa
  4. Reghia

    Nifanyeje ili nisifike kileleni haraka wakati wa kufanya mapenzi?

    Hilo sio tatizo.. tatizo ni je ukipiga xha fasta unatumia muda gani kurudi cha pili na kucome iko cha pili?? Coz m after 5 mn nshacome ila after 10mn naregain na kurudi cha pili.. chapili mpaka niamue mm mdaa wa kucome au demu aseme amechoka au ashacome piaa
  5. Reghia

    Ili kupata leseni lazima uwe na EFD mashine?

    Kutoka kwa mmoja wa wahusika wa utoaji wa leseni za biashara lkn sikua na uhakikaa thus y nmeiletaaa
  6. Reghia

    Ili kupata leseni lazima uwe na EFD mashine?

    Guyz nmesikia et kuanzia jana tar 01 huwezi pata lesen ya biashara mpaka uwe na efd machine ambayo utaiperela tra tjen wakupe tin na vrn kisha uende ukachukulie lesen ya biashara halimashauri. Je ni kweli? Na kama ni kweli vip siye tunao wish kufungua biashara currently? ?
  7. Reghia

    Tangu nimenunua kuku mpaka sasa hivi bado kutaga

    Angalia mchanganyo wa chakula chako ases
  8. Reghia

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Uko songea upande upi nikucheki tuongee mishee coz mwenyewe nipo songeaa apaa
  9. Reghia

    Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

    Okay..ukinipiga ban basi usiniongelee piaa.. kwnn uniongeleeeeee? Tena kinafikiii
  10. Reghia

    Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

    Nafikiri hii ndo fact.. na hapa ndipo tatizo lilianzaa
  11. Reghia

    Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

    Tunajua kwnn clouds hawakupiga nyimbo kwa kipind hicho chote.. lkn hatujua kwann eatv na radio yake hawpigi nyimbo za diamond na wcb.. upo?
  12. Reghia

    Hodi JamiiForums

    Ur name is so beautiful, and I blv will be ur face.. can u show us?
  13. Reghia

    Nimefura kwa hasira

    Fact
  14. Reghia

    Nawezaje kusimamisha ulipaji wa kodi ya biashara maana haiendi vizuri?

    That means hutakuja fanya biashara tena, coz from what I know a little ni kwamba unaposhindwa kuifunga biashara yako itaendelea kusoma kwa tin number ile ile the ukijafyngua biashara mpya ile tin number yako ita resume na kodi itaendeleee
  15. Reghia

    TRA Mwanza hawakujipanga kodi ya Majengo

    Wee nitake radhi m sio dada okay... af usiseme nimekurupuka .is a matter of kueleweshana, I didn't know kama kuna vitu viwil tofauti vinavyoelekeana .. umeshindwa kujiheshimu wewe
  16. Reghia

    TRA Mwanza hawakujipanga kodi ya Majengo

    Nenda kwenye web page ya wizara ya aridhi kisha angalia kitu inaitwa makadirio ya kodi ckick hapo then ingiza aina ya umiliki, mkoa, wilaya then Id no ya kiwanja then click kadiria itakupa makadirio yako ya kodi ya kiwanja au nyumba
Back
Top Bottom