Search results

  1. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Asante sana [emoji120]
  2. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Asante Comredi
  3. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Daaaah! My friend nina wakati mgumu kuliko kawaida [emoji24]
  4. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Asante! Nazingatia
  5. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Daaaah brother inauma usipime yanii!
  6. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Shukrani Mkuu nawahi
  7. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Asante sana [emoji120]
  8. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Asante! Naenda
  9. escrow

    Naomba ushauri wa kiafya

    Salaamu wakuu. Naomba ushauri wa kiafya JF doctor. Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis. Nipo kwenye ndoa na baada ya hali kutokea nilihisi kupata zinaa nikamuuliza mke wangu akasema haelewi...
  10. escrow

    Titizo la mtoto kunyonya anatoa sauti kama ya kwikwi

    Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2. Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti kama vile kwikwi, hivyo bado ufahamu wetu kwenye tatizo hili hatuna. Jf doctor naomba ushauri ndugu...
  11. escrow

    Somo la Stadi za Kazi ni muhimu kuliko Uraia

    Katika historia ya elimu yetu Tanzania kuliwahi kuwa na somo la stadi za kazi kwa shule za msingi ambalo lilikuwa msingi mzuri kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za ufundi. Somo hilo lilifutwa miaka kati ya 1997,1998,1999 na hakuna mbadala wake katika kuendeleza vipaji vya ufundi kwa wanafunzi wa...
  12. escrow

    Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Kumbuka unapoongelea tigo unawasena vigogo yani mithili ya "ROST TAMU HIZI na Rais mmoja mstaafu wa Cuba" kwa mzee tutalia sana ila ukweli ndio huo.
  13. escrow

    Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Israel sio wakristo bali ni wa jewish, na wanaukata/ wanapinga ukristo, ni ushamba wa kiimani tu au kutojua ndio maana wanaweka hivyo vibendera.
  14. escrow

    Kwanini Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo alikuwa anacheka kwenye msiba wa baba yake?

    Mimi najiuliza kwa nini anaitwa Joketi Mwengelo, Wakati baba yake ubini ni Ndunguru? Pia kwa nini alivaa nguo nyeupe na sio nyeusi?
  15. escrow

    Kilimanjaro: James Mbatia anusurika kutekwa na wasiojulikana. Avipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanikisha kuwakamata

    Ana madhara gani huyo nyuki wa mashineni hadi atekwe!! Namshauri amtafute wema sepetu wamalizie muvi vizuri. Mxxx! Wachaga bhana.
  16. escrow

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Sitasahau pombe kuninyima nyongeza ya mshahara miaka mitano kinyume cha sheria [emoji21][emoji21][emoji21]
  17. escrow

    Ubora wa maji ya Kilimanjaro unatia shaka!

    Bora utie shaka ni kinyaa kabisaa
  18. escrow

    Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Hakuna aliposema ameenda kuwa mkuu wa Chuo!! Amesema ameenda kuwa mkufunzi mkuu. Halafu andika vizuri sasa kijana.
Back
Top Bottom