Search results

  1. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kwa mujibu wake mtoto yuko salama
  2. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    [emoji1][emoji1][emoji1]Ntampa namba yako
  3. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kwa mujibu wa maelezo yake mtoto yuko salama
  4. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Mimi ni B+, wala sio group O'
  5. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Hivi inawezekana wanandoa miaka yote mkasex kwa condom? Mi nahisi inawezekana kwa kuongea tu ila kiuhalisia haiwezekani
  6. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    USHUHUDA WANGU KUHUSU H.I.V (kwa ufupi): Hilo suala la mwanamke wangu kusema ana HIV halikunistua/ kunishangaza sana, kwakuwa nilishawahi kukutana na kisa cha namna hiyo kwa mwanamke mwingine miaka kama minne iliyopita, in short yeye nilikuwa nishakuwa naye kwenye mahusiano kama miezi 8 hivi...
  7. Mkare_wenu

    Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Nina na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye anaishi mtaa wa jirani ambapo tumedumu kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na nusu, baada ya kuwa nae kwa miezi kadhaa tukatokea kuaminiana na kuanza kusex bila mpira, akawa amepata mimba na nilikuwa nimeplan akishazaa tuanze kuishi pamoja...
  8. Mkare_wenu

    Wanawake kipi huwa kinawafanya mseme hivi?

    Hapo umkute mwanamke wa kichaga sasa[emoji1]
  9. Mkare_wenu

    Tunaopiga picha darajani Manzese

    We piga tu ngosha usijali maneno ya watu
  10. Mkare_wenu

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mimi siwezi sahau hii ishu, labda wapuuzi waliopumbazwa na ishu ya Ney. Bashite ouuuut...!!!
  11. Mkare_wenu

    Nyimbo maarufu kwenye maharusi na shughuli mbalimbali

    Hainaga ushemeji haipo?[emoji12]
  12. Mkare_wenu

    Moyo Mashine ni bora kuliko Aje ya Alikiba

    Mimi kwa upande wangu naona hizo nyimbo zote ni kiwango, so yeyote ambaye angeshinda ni sahihi. Ila kwa upande wa video wamekosea sana , haikustahili ukilinganisha na video za washindani wake mfano Don't bother ya Joh
  13. Mkare_wenu

    Upande wa Pili wa Rose Muhando

    Ulitaka awe mnafiki wakati huo ndio ukweli?
  14. Mkare_wenu

    Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

    Wivu tu, tatizo mnavamia kuangalia vipindi msivyojua maudhui yake
  15. Mkare_wenu

    Ruby! sifa zimemponza

    Eti ana mvuto, teh teh
  16. Mkare_wenu

    Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

    Sijawahi ona Jide amesimama yeye kama yeye, kuna ile show alikuwa na beef kali na kina Ruge, huku upande wa kina Ruge alisimama 'Mwanafatuma', huku kwa Jide alialika magwiji kina Sugu, Nature wampe tafu. Pia hii show ya juzi Mlimani City alikuwa na kina Kiba
Back
Top Bottom