Search results

  1. C

    Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

    Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia upinzani kupungua bungeni. Hata kama wewe ni mfuasi wa chama tawala lazima uwe na kuridhika kwa kuwepo kiwango fulani cha upinzani. Bila upinzani mambo yatakuwa kama wakati ule wa chama kimoja. Tena tumshukuru Mungu kwani Mwalimu yeye alikuwa kama chama cha...
  2. C

    Nani anayemjua kiongozi anayefaa?Je, ni wale wanaoongozwa au ni viongozi wenzake?

    Hivi karibuni rais ameteua wakuu wa mikoa. Wengi wa walioteuliwa ni wale waliokuwa wabunge na kushindwa kuhifadhi viti vyao bungeni. Ndipo nilipopata swali kati ya rais na wananchi nani anamjua kiongozi anayefaa? Lingine ambalo linafanana na hili ni mtu ameshindwa kuchaguliwa na watu wa jimbo...
  3. C

    Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

    wewe nakuona unatatizo katika kuheshimu imani za watu. Tafadhali sana tena uombe msamaha.
  4. C

    Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

    Nampongeza Diwani mteule wa Chadema. Tutashinda kwa nguvu ya umma (people's Powerrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!)
  5. C

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    sikudhani kama wewe unahitaji ushahidi wa hasara tanzania iliyopata kwa kuwepo kwa mafisadi. Kama wewe huelewi mpaka sasa sidhani kama utaelewa tena.
  6. C

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    kama tunajadili hoja tujadili hoja. Kuzirai kwa wana igunga si hoja ila ni tukio. Hoja ni hii je, RA ni fisadi kweli?
  7. C

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    yapi ukilinganisha na hasara aliyoisababishia taifa? Hata jambazi linapouwawa huliliwa na wakwao. hata wangejinyonga haitahalalisha kuwa kaonewa. hatata hivyo amechelewa kujivua hayo magamba.
  8. C

    Imetokea loliondo

    Mimi nimesoma ulioandika lakini sijaona hoja nzito ambayo inaweza kumshawishi msomaji akubaliane nawe. Maana umetapatapa katika mambo mengi, mara uzungumzie bidhaa za kenya, bandari ya mombasa na hata shule. Pengine wewe ni mkenya au unakosa uzalendo. Kuna sababu iliyojificha ambayo nahisi...
  9. C

    Trafiki wajibu mapigo ya Sumatra

    Mimi nilidhani Kamanda Mpinga alikuwa anakanusha kumbe anataka wazungumzie chambera. Hilo si utawala wa sheria bali ni utawala wa nani umjuae. Big up sekirasa. Hawa polisi wamefanya hii nchi ni yao wenyewe na sisi wananchi ni wakimbizi.
  10. C

    Usafi wa Mazingira ya Jiji la Dar.

    Ni nani anapaswa kulaumiwa kuhusu uchafu ulivyozagaa katika Jiji? Hivi karibuni nilisafiri na kuingia katika Jiji hili ambalo wengi wanasema ndilo sura halisi ya Tanzania. Kwanza nikiri kuwa nililazimika kununua karanga kwa machinga/mchuuzi. Aliniwekea kweye kifungashio chake. Mara baada ya kula...
  11. C

    Loliondo kwa babu hakuna ajira?

    wewe unaposikia huduma za chakula,malazi na maji ni shida kwa maana nyingine hizo ni fursa za ajira. Ukiweza kwenda na kutoa hizo huduma utakuwa umejiajiri:angry:
  12. C

    Chuo bora tanzania

    Ubora huo katoa nani? Na kwa vigezo gani? Maana ninachofahamu mimi nikuwa wakati mwingine ubora wa chuo waweza kupimwa kwa idadi ya wahadhiri, madarasa(lecture halls) pamoja na vigezo vingine bila kuzingatia idadi ya wanafunzi na mhadhiri, maoni ya wadau kama kweli rasilimali zilizopo zinatumika...
  13. C

    Do we need Nuclear Energy in Africa?

    Nuclear energy seems to be a solution to power ration. Following the tsunami disaster and Two nuclear reactors explosion in Japan,do we still need nuclear in our country?:panda:
  14. C

    Will the uprisings in Arab Countries happen in East Africa?

    To be precise to the title, I would like to know the causes of riots in North Africa. Is what is happening spontaneous or planned? what are the measures to avoid this situation?
Back
Top Bottom