Search results

  1. Clabo1

    Msaada kuhusu Goroka

    Tafadhari naomba kusaidiwa maana ya ili Neno Goroka na Asili yake n Wapi?
  2. Clabo1

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Tubemate from google utapata free na Org
  3. Clabo1

    Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Fanya mazoez mkuu yale utayohakikisha yanakutoa jasho sanaa, hyo n k ufup tu yatakusaidia na pia andaa akil yako kwake kabla haujampanda na mueleze na yeye anatakiwa asichoke kukuandaa hata ukitema ilo moja naiman kama atachukua hatua ya kukutia hamu tena kwa kaul nzur za mah*b na michezo furan...
  4. Clabo1

    Jinsi ya kugundua mtoto ni wako bila kupima DNA

    Kumbe na Baba Anakua na Pozii[emoji102]!!
  5. Clabo1

    Weka picha ya mlima kitonga hapa na kona zake

    Hapana huu sio kitonga
  6. Clabo1

    Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Hataki kujishugurisha, anapenda awe mama wa nyumbani tu anapga story na majirani.... nikirudi kupambana nakuta amekopa gauni za elf 30
  7. Clabo1

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Mpeleke hosptal akachek HVS huenda ikawa Tv au u.t.i ile chronic
  8. Clabo1

    Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

    Cheki kaswende Mkuu.
  9. Clabo1

    Mwizi wa pikipiki achomwa moto Mbezi kwa Msuguli

    [emoji36] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Mungu awabariki wote wandugu! Lakin yalisemwa aya na Yesu mwenyewe! Kua watatazama lakini hawataona na watasikia lakini hawatoelewa!. Pia na ndyo maana akasema Yeye hukumu yake ni ya Haki.... Na pia neno lake ni kali zaidi ya Upanga ukatao kuwili.
  11. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Sawa nashukuru Mkuu.
  12. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Nashukuru sana.
  13. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Nashukuru sana Mkuu.
  14. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Mungu anajua! Na ndyo maana akafanya uyo MTU akanushe ili binadamu wahache kumsujudu uyo MTU, ila binadamu wabishi! Utaona hapa!
  15. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Jaman! Katika biblia kuna sehemu inasema.... Mungu ni Roho, pia ikasema tena Wahabudiwa halisi watamwabudu Bwana katika Roho na Kweli. Ukitaka kujua Bwana ni nani Rudi pale katika Zaburi ya 100 Kuanzia mstar wa kwanza. Ondoa iyo picha na hacha kuipgia magoti... Hata kama unaisijudu na...
  16. Clabo1

    Msanii Robert Powell awaambia mashabiki yeye si Yesu

    Wakatoriki wanaongoza! Mpaka msalaba wamemchongea na kuusimamisha huku na kuubeba beba imeambatana na kinyago cha uyu MTU.
Back
Top Bottom