Poleni na kazi na majukumu ya kutafuta riziki. Jamani mwanangu ana matege nimetumia dawa za vitamini D lakini bado sioni mabadiliko ana miaka miwili sasa.
Je, wapi nitapata viatu vya kunyoosha miguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaani naombeni utaratibu wa kuchukua fedha kwenye mpesa au tigopesa hasa baada ya ndugu yangu kuaga dunia ,mfano watu walioungua moto morogoro wakati wakichota mafuta je ndugu zao watazipataje hizo fedha walizoweka kwenye simu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.