Search results

  1. Mkonowatembo

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Huko bado hajafikia ya majohe viwege yaani utafieiki sio dar km 25tu kutoka katikati ya jiji
  2. Mkonowatembo

    Vipi kama Makonda anatengenezwa kwa kazi maalum?

    Huwezi kuwa komandoo kama hujapita kwenye misukosuko mingi ya kivita Tunaomba wakati makonda akihojiwa waandishi wa habari wawepo
  3. Mkonowatembo

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Makonda fanya kama kina ngwajina boy hakuna kukalia kiti hakuna kugusa mlango au miimo yake isitumie kipaza sauti na mengine riho wa Mungu atayokufunulia
  4. Mkonowatembo

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Waasisi walikuwa wanatamka tanzania bara na tanzania visiwani ila kadiri miaka inavyoenda zanzibar inajitenga kwa kasi sana ila muda si mrefu Tanganiyika inarudi
  5. Mkonowatembo

    Ijue Misri, nchi yenye historia kubwa duniani

    Yaani hii misri ilibidi ndo iwe inatawala dunia ka USA sasa walivyoingiza uisilamu ndo umasikini ukaingia mpaka leo
  6. Mkonowatembo

    Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Ila jamani siku tano ni nyingi sana mfano atandoka na ujumbe wa watu 150 gharama shi ngapi
  7. Mkonowatembo

    Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Ila jamani siku tano ni nyingi sana mfano atandoka na ujumbe wa watu 150 gharama shi ngapi
  8. Mkonowatembo

    Nape Nnauye: Rais Samia amefuta ada kuanzia awali mpaka kidato cha 6. Mlioguswa nendeni mtandaoni mkaseme 'Tunasimama na Samia'

    Kauli ya makonda itawaibua mawaziri wengi sana ili kuonyesha hawako kinyume na sa100 lakini ukweli utajulikana muda si mrefu na maandiko wanayoandika yatakuja kuwasuta
  9. Mkonowatembo

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Yaani huyu dada katukanwa huko istagramu kama ana roho jyepesi anaweza kuzimia
  10. Mkonowatembo

    Haya ni maeneo ambayo kuna siku yatatokea mafuriko makubwa. Ongezea maeneo mengine

    Watu wamejenga kule pugu hali ya hewa kule siku mllima ikishuka ule kifusi mpaka pugu mnadani au ulongoni taadhari iwekwe
  11. Mkonowatembo

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Mimi naamini samia atakuwa analijua hilo sasa nani wa kulisema hadharani naamini katumwa aliseme hili
  12. Mkonowatembo

    Kikokotoo turufu ngumu kwa CCM na Serikali yake

    Viongozii wa juu wa tucta wako kwenye mfumo wa serikali hata ufanye vp serikali ndo inamweka mwenyekiti wa tucta taifa kifupi ni mtu wao
  13. Mkonowatembo

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Huyu magulu amzidi umaarufu magufuri yaani magulu aondoe kabisa wazo la kugombea urais tanganyika
  14. Mkonowatembo

    Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

    Lema anaongea kwa mafumbo mbona haongei waziwazi kama ally happ
  15. Mkonowatembo

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Pasiport hata siku moja inawezekana tu wee tu ndo huelewi Mfano ukienda lita kule wanakwambia kupata cheti cha kuzaliwa kuanzia siku 14na kuendelea. Lakini kam huna mkono wa birika siku tatu hadi Tano utapata cheti na kama unaharaka sama siku tati tu wemaliza kazi
  16. Mkonowatembo

    Kumbe Bunge linaweza kumpoteza mtu asiyekubaliana nalo?

    Kikokotoo Gambo anasema hakiwahusu wabunge anataka ufafanuzi akaambiwa muda umeisha kaaa hajajibiwa
  17. Mkonowatembo

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Kesho tarehe 8au9 tutamsikia akiunguruma arusha na akikabiziwa ofisi
  18. Mkonowatembo

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Chamsingi ni mhimu kuwa na uelewa na mradi uliouanzisha angalau kidogo ukishindwa jiunge na jamii furom au nenda google utapata usaidizi angalau kwa machache yatakusaidia kupata mwelekeo
Back
Top Bottom