Search results

  1. BPM

    Waionaje hii picha

    Waionaje hii picha
  2. BPM

    Huu ukatili hadi lini???

    jamani nimekutana na hii picha ambayo sikuamini macho yangu kwenye facebook ya human rights, ambayo kuna video ya kuoyesha mwanamke ambaye kakatwa katwa na mapanga kwa madai ya kumyima mume unyumba ,, imetokea sumbawanga , huyo dada anaitwa Grace senga mkazi wa sumbawanga .. jamani hivi kweli...
  3. BPM

    Valentine day, tuwapende pia tunaowachukia

    Wengi leo wanaamini wanasherehekea siku ya wapendanao kwa kuonyesha upendo kwa wenzi wao kwa kufanya hili na lile mradi tu ionekane kwamba anapenda / kumpenda. lakini hebu tuongee na mioyo yetu huo upendo tunaotaka kuuonyesha leo ni kweli unatoka moyoni au unafiki ndani ya mioyo yetu ? wengi...
  4. BPM

    Msaada kwa huyu dada

    habari kuna dada mmoja amenieleza kisa hiki kimemtokea hadi sasa anashindwa aamue nini huyo dada kaolewa kwa ndoa ya kanisani miaka 11 iliyopita na wamejaliwa watoto 2 ila karibu kuna tatizo kubwa ambalo limemuuza sana . alipata ujauzito na yalikuwa makubalianno yake na mmewe watafuta mwana...
  5. BPM

    Msaada kunusuru suala hili

    wanajamvi nimekutana na mkasa huu nikaombwa ushauri nikaona nililete jamvini kupata mawazo zaidi.. Jamaa analalamika kuhusu mabadiliko ya tabia ya mkewe hasa makundi na ulevi . wameishi kwa kipindi cha miaka miwili tangu waoane ndoa ya kimila, mwanzo walikuwa na maelewano mazuri na hata mambo...
  6. BPM

    Kura ya kutokuwa na imani na serikali na yatakayofuata..

    naombeni msaada, hivi bunge la sasa hivi likipiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya tanzania kutokana na mambo mengi yanayojitokeza kama vile tatizo la umeme, jairo, ngorongoro na mengineyo .. na wakafanikiwa kuiondoa serikali madarakani je baada ya kipindi cha mpito uchaguzi utakuwa...
Back
Top Bottom