Search results

  1. Mwendabure

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Heshima mbele Wakuu! Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu. Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando...
  2. Mwendabure

    Mh Rais, kuna Faili liko mezani hujaligusa kwanini unaliruka?

    Mwandishi umejificha lakini nimekuona.... Poh kidali! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mwendabure

    JE Mh. Makonda anajua uonevu huu katika mkoa wake?

    Tunaisoma namba kwa pamoja. Mchungaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwendabure

    Sumaye alaani kauli ya Paul Makonda.

    Lumumba is loading....
  5. Mwendabure

    Kariakoo ni kero, machinga wamejaa kila kona

    Ni mpaka maafa yatakapotokea.
  6. Mwendabure

    CCM wameanza kuogopa kivuli chao wenyewe, ukistaajabu ya BM na JPM utaona ya JK na SAS.

    Pamoja na mengine... hapo mwisho kwenye kutekwa marafiki wa "mwonyesha nia" nimekuelewa vema.
  7. Mwendabure

    Ushauri kwa Azam tv kipindi hiki kigumu cha kufungiwa local channel

    Pia Azam ongezeni na chanel za muziki. Mnaboa na vichanel viwili..
  8. Mwendabure

    Watangazaji bora wa michezo kizazi hiki

    Huu mjadala utaingia kwa Mahasimu wa Msimbazi na Jangwani. Mpaka naandika hali bado ni shwari.
  9. Mwendabure

    Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Watu mnapenda sifa bila kuwa na sifa
  10. Mwendabure

    Magufuli kusema angepiga mashangazi: Wanawake wa CCM (UWT) wasema kauli hiyo haina tatizo, ilikuwa tahadhari tu

    Ipo haja ya hilo jina la UWT (Umoja wa Wanawake Tanzania) liangaliwe upya kwani lina ukakasi. (in Nape's voice) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mwendabure

    Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

    Akikua ataacha! Binafsi ndo mana sipendagi visichana KKB.
  12. Mwendabure

    Maswali magumu ambayo wanaume huwa wanauliza wanawake

    Hayo ni maswali ya wavulana kwa wasichana. Na hatua inayofuata ni kukagua/kubadilishana simu.. (kumbafu) Mwanaume maridhawa anafanya uchunguzi kwa namna sahihi na mapungufu ya mchumba ni changamoto ambayo unaitumia kuonyesha ukomavu ktk safari yenu ya mahusiano. Kuna wakati mwanaume unatakiwa...
  13. Mwendabure

    Hii ni awamu ya CHADEMA kufutika kama chama kikuu cha upinzani nchini

    Akili za Lumumba hizi... Hayo yote ya kuua upinzani ni kwa faida ya nani hasa?
  14. Mwendabure

    What a Car!

    Ni "mlemavi" zaidi ya mlemavu.
  15. Mwendabure

    Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

    Swali lilivuruga ubongo hadi Mkulu akaishia kusema .."Mayala maana yake ni njaa"
  16. Mwendabure

    Ipo haja ya mitaala yetu ya elimu kuwa na somo la uzalendo

    Ni Mwendabure, si mkaa bure.
Back
Top Bottom