Search results

  1. M

    Kuna mapungufu makubwa katika dhana ya uelewa kuhusu maandamano miongoni mwa wananchi wa kawaida

    Gussie, unahitaji maombi ya mfululizo (ya nyororo). Hueleweki na hujielewi unataka nini. Amua moja kuwa moto au baridi, laa sivyo bora utapikwe. Huo uvuguvugu ulionao ni hatari kwako mwenyewe, jamii ulipo na taifa kwa ujumla. Amka ewe usinziaye, ufufuke katika wafu.
  2. M

    Serikali: Tumeshagawa milioni 50 kila kijiji kama tulivyoahidi kwenye Kampeni 2015

    Kwa mioyo tuliyonayo watanzania usikute hapa ndio tuko peponi sisi hatujui, manake si kwa hizi danganya toto.
  3. M

    Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Jishangae wewe, eti unaisofia ccm kisa mwanao halipi ada ya shule ya msingi elfu 2 kwa mwaka ndio umeona la maana wakati anakaa chini darasani, baba mtu vyuma vimekaza mpk unatamani kuwekwa kinyumba ili ukwepe majukumu km baba, sasa sijui unataka nafasi ya ukaka ama umaza hausi. Ruhusu akili...
  4. M

    Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Imagine, Mzee Sumaye kala maisha na bado anamshara km retired PM anaipondea ccm, wewe unalipi jema ccm imekufanyia la kuisifisi kama si kukosa uthubutu?
  5. M

    Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

    Tafuta mafuta ya simba mkuu pakaza vitambaa vifunge maeneo mbalimbali randomly shambani hasa pembezoni, hutaona nguruwe wala nyani shamnani kwako unless uvitoe hivyo vitambaa. Wanamuogopa simba sn, watafungia break chalinze, it works but mtihani ni wapi utapata hilo wese la mfalme wa pori
  6. M

    Ushauri wa bure kwa Mbunge Musukuma(CCM)

    Kamsemo kazuri, ndio waswahili wakaja na kale cha ukimuiga tembo kunya utapasuka msamba.
  7. M

    Mbali na mke, kuna mwanafamilia mwingine aliyemtembelea Lissu Nairobi?

    Siyo kila anaeenda Kenya kumuona Lissu awe anaripoti kwako? Mimi ni mkazi na mpiga kura wa jimboni kwa Lissu, mlipomuumiza tu Dodoma zilienda basi costa 6 zenye watu mchanganyiko, ndugu, jamaa na marafiki wa Lissu. Taarifa imetoka kua anapelekwa Kenya, siku inayofuata zilitoka Toyota noa 3 to...
  8. M

    TANZIA: Viongozi wa CUF wafariki kwenye ajali wakitokea Dodoma kushuhudia uapishwaji wa Wabunge

    Waende panapostahili Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

    Wala copy n paste, kila couple ni composers wa style ya mahusiano yao wao wawili na Mungu kama ni wacha Mungu au shetani km ni members wake pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Mauki unavyotufanyia wanaume wenye ndoa sio Fresh.

    Huyu jamaa anacheza na akili nyepesi na upepo wake huzibeba. Mi adhima yangu ni kumgegedea mkewe ili ajue being psychologist uchwara hakutamuacha salama. Ajikute ni km kocha tu awezaekucheza mpira mezani, uwanjani zero kbs. Mwenye namba ya mkewe please nikaoshe rungu afu nikimaliza ntahakikisha...
  11. M

    Mrejesho: Kuhusu yule binti niliechana nae kwa matusi na maneno ya kashfa

    Mwagika Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Mhe. Mbunge wa singida mashariki.

    Wanajamvi salamuni. Kwa heshima kubwa napenda kuchukua fursa hii kumkumbusha mbunge wetu akumbuke akipotoka, tunajivunia weledi, werevu, umakini na uelewa mpana alionaona kwa maslahi mapana ya kitaifa. Katika kutimiza wajibu wako fahamu kuwa jimbo lako ni kati ya majimbo ambayo yanafanyiwa fitna...
  13. M

    Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

    Ni mawazo na ushauri mzuri ila not applicable. Nature ya familia zetu (extended families) na kipato kisichokua cha uhakika au kutosha (kigao kidogo cha shirika) ni ngumu sana kuset malengo badala yake wengi wetu tunaishi kwa dead lines ktk kushughulikia mambo. Upo mjini alone au ukoo mzima we...
  14. M

    TBC kurusha LIVE Mwaka mmoja wa RC Makonda: Ayubu Rioba, kwanini usijiuzulu?

    Na hii ni namna ya kutufikishia ujumbe ant bashite kua bado yupo sana, ni kama wamempa promo flani.
  15. M

    Mhe. Lungu; I am not bulldozing but am walking my words

    Salamu waungwana, Jana nilibahatika kuangalia kupitia tv mazungumzo ya Rais wa Zambia mhe. Lungu na Mhe. Magufuli wakiwa na maafisa mbalimbali toka nchi mbili, ikawa kila mmoja alipomaliza kuongea aliulizwa maswali mawili, Mhe. Lungu aliulizwa na mzambia, kuwa amejifunza nn kutoka kwa...
  16. M

    Whats is love

    Love is forgiving ua spouse/boy or girlfriend when you find him/her naked sleeping with some 1, still u take him/her with u to ua home.
  17. M

    Jacob Zuma asinzia wakati wa hotuba ya waziri wa Fedha

    Anatakiwa apigwe shaba.
  18. M

    Kuuliza sio ujinga.

    Nenda TBS pale karibu na TFDA, katakulia utaona kumeandikwa taasisi ya chakula na lishe.
Back
Top Bottom