Search results

  1. Lekule86

    Kulikuwa na uhalali gani kwa Chief Mkwawa kutambulika kama 'Shujaa?

    Katika uwanja wa vita askari yeyote anayejiua kwa nia kukwepa kukamatwa na adui Kama mateka anastahili na ana sifa zote za kuitwa shujaa kwani anakuwa ameokoa wenzake kwa maana endapo atakamatwa na adui lazima atabanwa atoe Siri zao,jinsi ya mapigano yao,mafunzo yao, walipo wenzake(ngome)...
  2. Lekule86

    Tetesi: Limewafika na hawa

    Ukipona usishangalie wenzio wakati linawakuta kwani kwako sekunde zinahesabika
  3. Lekule86

    Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    Sidhani kama hawana kwani hapo awali sijawahi kuona magari ya vyombo hivyo katika garage zaidi nakutana nayo sheli, ila kuhusu hili la Mh.Makonda ni kama kujitolea mwenyewe kwa gharama zake. Ila hiyo hoja ya kuyatengeneza kwa hao wahindi sidhan kama ni tatzo kwani ndiko yalikotengenezwa na...
  4. Lekule86

    Mheshimiwa rais Magufuli, leo nakukosoa

    Umeongea ukweli na umetumia lugha sahihi, kwa wakati sahihi lakini nani alieko juu ataheshimu nawazo yako hilo ndio tatzo
  5. Lekule86

    Dhuluma ya Zanzibar yatimiza mwaka mmoja

    Mmmmh haya no comment kwani nitaambiwa nachochea ugomvi
  6. Lekule86

    Dhuluma ya Zanzibar yatimiza mwaka mmoja

    Sielewi hiyo kauli ya dhuluma umeitumia kwa mantiki gani
  7. Lekule86

    Mishahara ya polisi nchini Tanzania ni kiasi gani?

    Kwa mujibu wa sheria mshahara wa mwajiriwa ni siri kati yake na bosi wake akikwambia ni hiari yake lakini pia atakuwa amekosea kusema siri
  8. Lekule86

    Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

    Kikubwa nachojua mimi swali liwe kubwa au dogo lazima mhusika(muulizwaji) ajibu hasa ukizingatia swali lenyewe lina uzito kwa jamii yetu
  9. Lekule86

    Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

    Yes inapendeza kwani wamevaa ile ile kiarusha
  10. Lekule86

    Kwa wale wenye nia ya kujua na kufahamu kuhusiana na umeme na technolojia mbalimbali dunia

    Tembelea www.sosteneslekule.blogspot.com hapa utakutana na elimu mbalimbali kuhusiana na umeme na technolojia mbalimbali ambazo zinalengwa katika maisha ya kila siku duniani
  11. Lekule86

    Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo

    Wasiwasi wangu ni kwamba kama tumejisahau kwamba bora hiyo hukumu ya kifo kuliko kumfunga mtu miaka 30,juzi nimesikia mhalifu aliyekuwa na miaka 32 amefungwa jela miaka 90,alikuwa na makosa matatu kosa moja miaka 30 sasa si bora auliwe kuliko mateso utakayompa hapa duniani tena akiwa gizani(jela)
  12. Lekule86

    Vita vya Syria na hatari ya kuzuka vita vya tatu vya dunia

    Inawezekana lakini bado sijaafiki kama bado kuna mtu a anafikiria kupigana
  13. Lekule86

    Kuna 'Sober House' za punyeto?

    Daaaaaa.......hiyo sijawahi kuisikia labda mnijuze uzuri na hao waathirika wanalelewa vipi ili waachane na hiyo kitu
  14. Lekule86

    Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha

    Daa lakini kiukweli hili suala wote wa kulaumiwa sio wake wala Waume uaminifu hakuna
Back
Top Bottom