Search results

  1. asanteelimu2016

    Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Nakuhakikishia sio mnunuaji na yeye ni dalali anatafuta mteja.
  2. asanteelimu2016

    Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Ndugu dalali bado unatafuta viwanja hahaha
  3. asanteelimu2016

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma(Kituo funcity)

    Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma (Kituo funcity) mtaa wa malela kipo jirani na nyumba ya karoti. Ukubwa Meter 26.5 * 20 Kina slope upande mmoja haiathiti ujenzi wako. Bei milioni 6 (Neg Kidogo) MAHITAJI MUHIMU Umbali kutoka barabara ya lami ni Kilometa 1. Barabara za kuingia kiwanjani...
  4. asanteelimu2016

    Msaada wa sehemu ya kuprint vitabu

    0654846084 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. asanteelimu2016

    Nauza Canon 7D bei nzuri

    Imeuzwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. asanteelimu2016

    Nauza Canon 7D bei nzuri

    Imeuzwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. asanteelimu2016

    Nauza Canon 7D bei nzuri

    Nicheki tuzungumze Sent using Jamii Forums mobile app
  8. asanteelimu2016

    Nauza Canon 7D bei nzuri

    Habari yako mwana jamii. Naiuza camera aina ya 7d Plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000. Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina miezi miwili peke yake. Inarecord HD video mpaka 1080 quality. Sababu ya kuiuza ni kuwa nahitaji...
  9. asanteelimu2016

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mambo vipi, ninauza Tecno Camon 9 kwa tsh 125,000 haina tatizo lolote. Internal memory Gb 8 Nakupa na external Gb 32 0654846084 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. asanteelimu2016

    Tecno Camon 9 | Tsh 120,000 for sale

    Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. asanteelimu2016

    Tecno Camon 9 | Tsh 120,000 for sale

    Internal storage Gb 8 Network 4g Used like new haina tatizo lolote wala crack Price 120,000 0654846084 Ukilipia 125,000 nakupa na memorycard ya gb 32 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. asanteelimu2016

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Jana nilikuinbox kwenye nambayako au huwa unaweka namba kama pambo mzee. Nilikueleza natafuta gari ToyoTa Rush je unayo
  13. asanteelimu2016

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Inahitajika Toyota Rush namba D milioni 12.5 ipo mfuko wa shati. 0654846084 kwa picha zaidi na maelewano
  14. asanteelimu2016

    Nina Novel Ya Godfather Natafuta Mtu Tufanye Exchange.

    Mimi ni mwandishi wa vitabu vya aina unayohitaji lakini kwa lugha ya kiswahili. Kama utapenda nipo tayari kukuletea ulipo kila kimoja nauza Tsh 10,000
  15. asanteelimu2016

    Asali kavu kutoka Tabora

    Asali ya wadogo huwezi kupata lita 20 kwa bei hiyo.
  16. asanteelimu2016

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nnayo nyeusi nahitaji 290 0654846084
  17. asanteelimu2016

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nnayo nyeusi nahitaji 290
  18. asanteelimu2016

    Nielekezeni Ikulu na nenda na moyo wangu; ndani ya kitabu kimoja

    Unapenda kusoma riwaya? Zenye mpango wa kipelelezi, mapenzi na visasi? Nina vitabu vitatu tofauti MIFUPA MIKAVU Tsh 13,000 LUPITA 10,000 MUUZA MIHOGO Tsh 10,000 Ukihitaji vyote vitatu kwa pamoja ni Tsh 25,000 Kitabu cha Mifupa mikavu kina riwaya tatu zenye kisa cha kisasi, maisha ya maumivu...
Back
Top Bottom