Search results

  1. Nick Furry

    Je, ushawahi kunyanyapaliwa kwasababu ya umbo lako?

    Jana nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Kahama kwa kutumia basi Mali ya (.......)....e bhana alipanda bwana mmoja ni kipisi cha mtu jitu kweli miraba nadhani kama nane hivi. Ana bonge la tumbo aisee, kwa makadirio ya haraka haraka jamaa ana saizi mara mbili ya babu Lemutuz (kwa mwili sio...
  2. Nick Furry

    Natafuta mashamba kwa ajiri ya kulima mpunga Ifakara

    Heloooo Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada wako...nahitaji ekari mbili...0755764161/0692760746
  3. Nick Furry

    Nahitaji funding wa incubator..Morogoro

    Nipo morogoro mjini...nahitaji fundi wa incubator...ni manual....air forced...inachukua Mayai 60-120... Namba ya simu 0755764161...sijajua tatizo nn...lakini haitoi joto...and kuna ways umekatika sijajua connection yake
  4. Nick Furry

    Nahitaji funding wa incubator morogoro

    Nipo morogoro mjini...nahitaji fundi wa incubator...ni manual....air forced...inachukua Mayai 60-120... Namba ya simu 0755764161
  5. Nick Furry

    Natafuta Business Mentor and partner

    Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza nikahitimu. Baada ya kuhitimu nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kisasa (broilers and layers) na...
  6. Nick Furry

    Natafuta business mentor and partner

    Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza nikahitimu. Baada ya kuhitimu nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kisasa (broilers and layers) na...
  7. Nick Furry

    Natafuta wafugaji wa nguruwe walio manispaa ya morogoro...ni kwa ajili ya utafiti wa kitaaluma

    mimi ni mwanafunzi..chuo kikuu cha kilimo sokoine (SUA)..natafuta wafugaji wa nguruwe wanaofanya shughuli zao manispaa ya morogoro..ni kwa ajili ya utafiti wa kitaaluma (academic research) utakaofanyika mwaka ujao (2017)..kama wewe au jirani yako ana shamba la nguruwe tafadhari naomba...
  8. Nick Furry

    Matumizi ya kiswahili kwenye TV shows (series) za waamerica,,

    kwa wale wapenzi wa Tv shows {series} za wamarekani...mara ngapi umekuta wakitumia kiswahili japo sentence mbili tatu ivi...daaaaa huwa nasikia raha sana nikikutana na hihi hali...for now..Quantico...wameanza kukitumia toka season 2 episode ya 1 sijajua kama wataendelea kukitumia...japo...
  9. Nick Furry

    Natafuta kazi yoyote halali

    Naitwa Gabriel...ninaishi morogoro mjini..natafuta kazi yoyote ile halali...sehemu yoyote ile lakini ningependa zaidi kama ikiwa hapahapa Moro..elimu yangu ni kidato cha nne (division one)..sikuweza kuendelea na masomo zaidi kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu..naweza kusimamia...
Back
Top Bottom