Search results

  1. Nick Furry

    Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

    1.Bidii..(juhudi zako, maarifa Yako, uendaji kazi wako) 2.Bahati..(Mungu alivyo kupangia) 3.Watu wanaokuzunguka (familia...marafiki..wafanya kazi wenzio..kiufupi connection) Hivi vitu vinatakiwa vibalance perfectly ndo pesa ikutembelee...unaweza ukawa na bahati but kama huna bidii na watu...
  2. Nick Furry

    Napata changamoto kwenye mfumo mpya wa kuomba leseni ya biashara

    kaka umewasiliana nao kupitia namba Gani....kama unazo nipasie Nina shida nao
  3. Nick Furry

    Kwanini wanasema SUPER GRO

    1ml per 1L...na Haina bei kubwa kivileee...nadhan Lita Moja haizid 15k
  4. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    Achana nazo mkuu...ni kuongeza tu gharama zisizokuwa za msingi kwenye kilimo...fuata kanuni Bora za kilimo hazitokuangusha
  5. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    Mamlaka husika zilishapiga marufuku (mamlaka ya mbolea na mamlaka ya afya ya mimea)...wote walishazuia matumizi ya hii kitu... Mwenye kampuni kaisajiri kama home care product (ukisoma hata madumu yameandikwa hivo) na sio agricultural product....lakini hao mawakala (either kwa kuambiwa na kampuni...
  6. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    Angalia hata mfumo wanaotumia kuiuza (networking marketing)....hawataki ipatkane kwenye maduka ya pembejeo Wala maduka ya kawaida...coz wanaotumia false promotion ya super gro..wanawapotosha wakulima kwa kigezo Cha kupata matokeo...but kiuhalisia bidhaa yao haipo hivyo....
  7. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    Ukosefu wa elimu na kutaka Short cut kwenye maisha (kilimo)...inafikia hatua wanaambiwa waipige mpaka kwenye ardhi kwamba itarutubisha ardhi hivyo hamna haja ya kutumia inorganic fertilizers...jamani kilimo ni sayansi na kina kanuni zake...zipo wazi na kama huzijui hebu onana na wataalamu wa...
  8. Nick Furry

    Kwanini wanasema SUPER GRO

    Aquawet 15SL kutoka kampuni ya osho
  9. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    Ukigoogle au kusikiliza maneno ya mawakala utapotea....watakuambia imewapa faida wakulima wengi Tanzania and blah blah...wao wenyewe wengi wao hawaelewi wanachokiuza na hawana utaalamu wowote wa kilimo....Yani mtu akishamezeshwa tu faida walizojitungia tayar anageuka kuwa bwana shamba na wakala...
  10. Nick Furry

    Naombwa kufahamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao

    MKUU ACHANA NA HUU UOZO WA SUPER GRO Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu wanaoshawishi matumizi ya super gro kama mbadala wa either mbolea za msingi au mbolea za majani (boosters). Wakulima wengi kwa kutokujua wamekuwa wakinunua kemikali hii kwa bei kubwa.Lita 5 wamekuwa wakiuziwa mpaka sh...
  11. Nick Furry

    Mbegu nzuri ya mahindi inayofaa kustawishwa wilaya ya Ngara na Karagwe

    DK 777...kama mvua zitawahi na kuwa consistent
  12. Nick Furry

    Mbegu nzuri ya mahindi inayofaa kustawishwa wilaya ya Ngara na Karagwe

    Kwa karagwe Lima Simba SEEDCO, DK 90-89 au DK 777
  13. Nick Furry

    Mbolea ya Super Gro

    MKUU ACHANA NA HUU UOZO WA SUPER GRO Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu wanaoshawishi matumizi ya super gro kama mbadala wa either mbolea za msingi au mbolea za majani (boosters). Wakulima wengi kwa kutokujua wamekuwa wakinunua kemikali hii kwa bei kubwa.Lita 5 wamekuwa wakiuziwa mpaka sh...
  14. Nick Furry

    Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Content zinatofautiana japo sio sana...unaweza itumia kama huna alternative,..I mean huna hizo premix za kuku...it won't hurt but growth or production performance inaweza kuwa chini
  15. Nick Furry

    Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

    Science ni fact....sio misimamo na mawazo binafsi...na utakuwa hujaelewa....vet.med sio uganga wa kienyeji kwamba kila mtu awe na utaaam wake Haijawawi kukuangusha kwa sababu hamna tatzo lolote...unakuwa unahisi umetatua tatzo kumbe halikuwa tatzo... Nadhani wew sio daktari...ungekuwa japo...
  16. Nick Furry

    Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

    Babu alikuwa sahihi 💯💯💯💯💯💯......kondom Lina hormone zinazoongeza maziwa (oestrogen na Oxytocin)...na Lina madini na viturubisho vinavyosaidia kumfanya kurecover mapema...Iron..kama Babu bado yupo mpe maua yake 🌼🌷🌺🌸🌷...Huwa naenjoy sana nikikutana na wazee wa hivi field.. Kuna vitu vingi...
  17. Nick Furry

    Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

    Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa...
Back
Top Bottom