We unataka usaidiwe nini?
Unafanya zinaa na kibinti cha watu? Muogope mungu kwa uchafu wa zinaa!
Ukimwi,kaswende nk vinakunyemelea watch out!
Ushauri wangu kwako fuata utaratibu unaokubalika na uende mukamuone doctor kwa hilo!.
Ulikuwa na sababu ya msingi sana ktk misingi ya dini ndio iliyokufanya uwache kufanya usheteni! Kama ulishajuwa kufanya hivyo (kudhini) ni makosa (dhambi) na ukajizuia sasa muoe ukamilishe malengo yako! Unataka ushauri gani? Unataka shetani akushauri kupitia JF uzini sio? Muogope muumba wako...
Ama kweli sasa udini umekithiri mpaka hali inatisha! Unafiki wenu umepitiliza! Mna ushahidi gani nyinyi? Mimi ninaishi hapa Chadema Markaz na huo msikiti wa markaz ndio ninao swali swala zangu zote! Na hao watoto wanasoma hapo tunao muda wote hakuna jingine zaidi ya kuhifadhishwa elimu ya Quran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.