Search results

  1. Puma yetu

    Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

    Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
  2. Puma yetu

    Tozo Mpya za Miamala: Kuna watu wanataka CCM ishindwe 2025 makusudi. Hatutakubali!

    Haiwezekani wewe Speaker bajeti mbovu inaletwa bungeni inayolenga kuumiza wananchi imekaa unapiga makofi tena unatishia eti wabunge wakigomea bajeti bunge litavunja. Hamkuwa na nia wala dhamira njema ninyi, mliendekezwa na Mwendazake sasa mnataka makusudi kumuangusha mama 2025, hatutakubali...
  3. Puma yetu

    DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
  4. Puma yetu

    Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya...
  5. Puma yetu

    Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  6. Puma yetu

    Chama changu CCM tunajitengaje na aibu hii? Gamba limeondoka au limerudi kwa kasi?

    Hapa nazungumzia uchaguzi wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge, rushwa imetamalaki kila mahali.Wajumbe wa mikutano mikuu ya wilaya maeneo mengi wamepiga kura kwa kupewa rushwa sana. CCM tunapenda sana kusema kila kitu au malalamiko yasiwe mitandaoni na badala yake yawasilishwe kwenye...
  7. Puma yetu

    Uchaguzi 2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
  8. Puma yetu

    I am looking for legal opportunities

    Habari wadau, Mimi ni Graduate wa Law from Tumaini University. Naomba kama kuna mwenye Chamber ya sheria anipe nafasi ili nipate uzoefu wakati nasubiria kwenda Law School.
  9. Puma yetu

    Mwanachama wa ACT-Wazalendo, Suphian Juma hajulikani alipo siku ya 3 leo

    Kuna tetesi kuwa kijana huyu mwanaharakati na mwandishi wa habari anayeitumikia blog ya KwanzaTV inayomilikiwa na mwanaharakati mwanadada Maria Sarungi hajulikani alipo siku ya tatu leo. Suphian Juma ni kijana mwanachama wa ACT wazalendo mzaliwa wa mkoa wa Singida wila ya Ikungi ambaye naye...
  10. Puma yetu

    Hazina Kuu acheni kusumbua watumishi wa umma, wapeni salary slips zao

    Inasikitisha sana mnapowalazimisha watumishi wa umma watumie online application wakati mtandao wenu unasumbua, hamko online. Mmeweka namba za simu hazipatikani na ikipatikana haipokelewi, Emails hamjibu sasa ninyi mnafanya nini hapo? Ikiwa mtu ana shida ya halaka labda anahitaji kukopa bank...
  11. Puma yetu

    Kwanini wafamasia wa maduka ya dawa hawalipi kodi? Serikali iwamulike watu hawa

    Kama kuna mahali serikali inapigwa ni hapa, hivi inakuaje hawa wanaoitwa mafamasia wanaojihusisha na shughuli za kutumia vyeti vyao kwenye Mafamasi makubwaa hawalipi kodi!inakuaje mtu analipwa manilioni mengi ya pesa bila kodi? Serikali inalijua hili? Cha kushangaza ni kwamba wanalipwa pesa...
  12. Puma yetu

    Hii ndio Tanzania ya sasa, TSSF watakiwa kupeleka pesa zao HESLB.

    Lile shirika ambao lilijitanabaisha kuwapata wanafunzi mikopo TSSF, sasa wamefungiwa rasmi kufanya shughuli za utoaji wa mikopo ya elimu ya juu badale yake serikali imewataka kupeleka pesa zao HESLB ili kutunisha mfuko wa bodo hiyo. Katika taarifa ya tarehe 18/12/2017 iliyotolewa na Mkurugenzi...
  13. Puma yetu

    TCU mulikeni kero hizi Kampala international university (KIU)

    Kama Mwananchi wa kawaida lazima nipige kelele kwa nguvu kabisa umma usikie, kile chuo kinaendeshwa kiujanja ujanja hakuna utaratitibu unaoeleweka. Wanafunzi wanateseka, uongozi unapishana kimaamuzi hakuna kinachoeleweka ndani ya chuo hicho. Mimi kama mzazi au mlezi wa wanafunzi ninaowasomesha...
  14. Puma yetu

    Application MUHAS

    Hebu tusaidiane hapa wakuu, Hivi kama unaaply chuo cha MUHAS unafikia sehemu ya Program selection unaambiwa " YOUR SELECTION OF PROGRAM MUST BE UNIQIE PLESE CORRECT AND SAVE IT" Mbona kila nikituma najibiwa hivyo hivyo, tatizo nini hapo wakuu?Nakosea wapi? I need your help indeed pls!
  15. Puma yetu

    Serikali suala la Mikopo kwa wanafunzi wote tatizo nini? Huu ubaguzi hadi lini?

    Serikali ya JK pamoja na kulipa wafanyakazi na wanafunzi hewa lakini waliwapa wanafunzi wote mikopo bila kujali alimaliza shule muda mrefu, bila kujali umri wala anatoka familia gani. Sasa ubaguzi umezidi na tena ni wa kupingwa kabisa.Wanatakiwa waliomaliza shule kuanzia mwaka juzi,ndio...
  16. Puma yetu

    Serikali iwe makini na Wahamiaji hawa haramu kutoka Nigeria

    Juzi uhamiaji imewakamata na kuwashikilia wahadhiri kadhaa kutoka chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala tawi la Dar es salaam kwa madai ya ukiukwaji wa taratibu za wageni kufanya kazi nchi na za kiuhamiaji. Ukweli wa mambo ndio huu, Hawa wanaojiita wahadhiri kutoka chuo hicho hawana...
  17. Puma yetu

    Mbunge Elibariki Kingu, unafki ni mbaya sana.

    Nimekua nikifuatilia siasa za mbunge huyu na wengine wenye tabia kama zake, nimekwishagundua kua kuna wabunge wa aina hii ni hatari kwa maendeleo ya wananchi wanaowawakilisha. Wabunge hawa hujaribu kujikakamua kufanya waonekane lakini hakuna kitu, ni waoga wa kutisha. Elibariki Kingu...
  18. Puma yetu

    Serikali mbona mnataka kunitenganisha na familia yangu?

    Kama kuna kitendo kinachoumuza watumishi wengi wa umma ni serikali kuzuia uhamisho kwa watumishi wao, sababu kuu ni kua ati uhakiki wa watumishi bado unaendelea. Huu ni unyanyasaji wa wazi wazi kabisa, inawezekanaje mtu mke wa ndoa anataka kumfuata mume wake wa ndoa kukaathiri...
  19. Puma yetu

    Immigration, hebu ingieni Kampala international university

    Kile chuo kuna wanigeria wamejaa kama njugu, tunasikia kua wanaombwa kuja kufundisha wanafunzi wa diploma masomo ya Afya lakini wanafundisha wanafunzi wa shahada.Wengine wanaenda kwa mafunzo ya vitendo lakini wanazamia kazini moja kwa moja. Sijui kiutaratibu serikali inaruhusu vyuo vyetu...
  20. Puma yetu

    Chama Changu CCM mmeniangusha, sina hamu

    Nakumbuka baada ya mkutano mkuu wa Chama kule DODOMA wa kumpata mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama chetu 2020, baada ya kumpata mgombea ambaye binafsi nilitokwa machozi nikiamini kua tumepata katapila litakalokata mizizi yote ya majungu na fitna nje na ndani ya Chama. Tulijitoa kwa moyo...
Back
Top Bottom