Search results

  1. Piere. Fm

    Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Kwanini Mkuu unadhani hivyo??
  2. Piere. Fm

    Kwa sasa Usalama upo KKKT na Sabato tu, Zanzibar nako hali ni tete kwa ndugu zetu Waja wa Allah!

    Hahaha vipi Mzee Wa kanisa Moja takatifu la mitume... Safari hii inabidi uende na Usizitazame dhambi zangu ila tu Imani ya kanisa lako takatifu.. 😂
  3. Piere. Fm

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ndio maana binafsi naamini hizi dini zote ni Upuuzi na zipo kwaajili ya maslahi ya watu. Ukuaji Wa kweli Wa kiroho (Really Spirituality) ni tofauti Sana na mafundisho ya dini zote hizo.
  4. Piere. Fm

    Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    The First Law katika 48 Laws of Power kitabu kilichoandikwa na Robert Greene inseama; NEVER OUTSHINE THE MASTER. In your quest to impress the people above you, don't flaunt your talents too much. If your superiors feel insecure, they'll find ways to replace you. Even if you're currently in...
  5. Piere. Fm

    MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    Hakuna Ushirikina mkuu. Ukiwa na Tamaa za kijinga na kuingia katika Get Rich quick schemes ni rahisi Sana kutapeliwa. Kama kumsukuma mlevi.
  6. Piere. Fm

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Asante mkuu na kwa wastani gharama zake zikoje upande wa nyumba za kupanga? Pia eneo lingie ambalo lipo vizuri ?
  7. Piere. Fm

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Asante sana mkuu kwa Tarifa hii. umetutajia maeneo mawili yenye changamoto ya kaji katika mkoa wa Morogoro ambayo ni kihonda na mkundi . Swali langu kwa uzoefu wako ni maeneo gani ambapo naweza pata nyumba ya kupanga kwa bei rafiki (bei nzuri) na kuna uhakika wa huduma muhimu haswa maji na shule...
  8. Piere. Fm

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari Wakuu? Shukrani kwa huu Uzi Nina binafsi nina mpango wa kuhamia mkoa wa Morogoro na ninpenda kufungua biashara ya vilainishi vya magari.. Sasa kwa wenyeji wa mkoa huu ningepnda kujua mambo mawili muhimu; Kwa wastani gharama za chumba cha biashara (yaani kodi ya pango kwa mwezi). kwa...
  9. Piere. Fm

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Upande wa uwanja wa ndege aliyejijengea ndio kaondoka kutumika tena labda siku viongozi kutoka nje wanakuja kwenye mazishi, Baada ya hapo sina uhakika. Hivyo vingine kama Veta na hospitali watanufaika wanancha wa Chato na kanda ya ziwa kwa ujumla.
  10. Piere. Fm

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    StarTimes Tanzania, Mlianza kuiondoa TV ONE mlipopigiwa simu mkasema kuna marekebisho mnafanya, mkaja mkaiondoa CLOUDS na chaneli zingine mlivyopigiwa jibu likawa lile kuna marekebisho mnafanya zitarudi lakini mpaka leo hazijarudi nini tatizo? Rudisheni chaneli hizo pia ingizeni chanel E.
  11. Piere. Fm

    Msaada wa Sheria inayohusiana na SERVICE LEVY.

    Habari Wakuu, Kwa wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hii sheria inayohusiana na service levy. Je ni nani ambaye anaingia katika kundi la kulipia hii service levy katika halmashauri husika? Yaani mtu au Taasisi zinazo jishughurisha na nini hasa zinaingia katika kundi la kulipia aina...
  12. Piere. Fm

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hakika mkuu sio siri mvuto haupo tena kwa jukwa letu hili watu kibao washapotea. Mbu, @Wacha.1, Richard, Sizinga majirani akina Pazi et.. al
  13. Piere. Fm

    Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Kwahiyo hizo ziara ambazo huwa tunaaambiwa kuwa ni za kushtukiza huwa ni muendelezo tu wa Maigizo??.
  14. Piere. Fm

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Watanzania bado hawajamuelewa mkuu. Ukweli ni kuwa jamaa anakosa seheme ya kupigia madongo yake na kujisifia kila siku kwahyo anachofanya ni kila baada ya siku kadhaa anateu mtu ili baada hapo anapowaapisha ndio unakuwa muda wake wa kuwajibu wakosoaji wake kwa hiyo kadri mnamvyomkosoa ndio...
  15. Piere. Fm

    Rais Mstaafu wa TFF Leodger Tenga ajitosa kuwania uongozi FIFA

    Hongera Tenga kwa kuona mbali na kupiga hatua Hiyo, huyu wa sasa ya kaona hatua kubwa ni kwenda kugombea chama cha mpira cha mkoa.
  16. Piere. Fm

    Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

    Clouds siku zote hufanya kazi ya UHURU na MZALENDO Ndio maana mkuu anaipenda.
Back
Top Bottom