Search results

  1. mr mkiki

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Tutajua lini mpira sisi jamani. Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  2. mr mkiki

    Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu yaani anaenda kufungwa goal 4+

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji4][emoji39][emoji39][emoji4][emoji4][emoji...
  3. mr mkiki

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) wafikia 85%

    Ni kweli sio Ugali lakini waambie wafafanue maneno yao
  4. mr mkiki

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Alafu wajinga Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  5. mr mkiki

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Acha ujinga....... waliyokuwekea bure wamepeleka watoto shule za gharama. Hakuna elimu ya BURE WEWE Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  6. mr mkiki

    Wananchi kutaka Mabadiliko haimaanishi CCM ni chama kibaya bali ni Suala la " Wakati", 2025 CCM itatumia njia ile ile ya 2020!

    Unadhani unaweza kuwa na vidole sawa na mama yako. Kizazi chako kitaona Mapinduzi Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  7. mr mkiki

    Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

    Bora huko hakuna wagonjwa,mazoea ndio maisha yetu wapite na hospital waone..., n.k Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  8. mr mkiki

    Agizo la Rais ni amri

    Vijana wameshindwa kuelewa haya mambo Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  9. mr mkiki

    Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Kauli za Magufuli ndio maisha ndani ya CCM...watu wameshindwa kuelewa. Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  10. mr mkiki

    Jinsi TAKUKURU inavyozuia Rushwa kwenye Vyama vya Siasa

    Hii kwa TAKUKURU ni kazi yao. Lakini ndani ya serikali rushwa ni kubwa....... CCM wanatumia hela kuwa madarakani kwa % kubwa ,, mimi siwezi kukubali umasikini wakati ufisadi unawapa watu utajiri. Tuwe wote kwenye Rushwa tuone Mwisho wake. Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
  11. mr mkiki

    Machifu na Mashujaa wa Iringa wampa Paul Makonda jina la Wigombikanana lenye maana ya Mlinzi wa Taifa

    Siasa za kitanzania ni nyepesi sanaa.......Yani raia wanashindwa kueleza matatizo ya nchi yao,kila siku wanataka drama tu. Asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga.
  12. mr mkiki

    Makonda kuizika CHADEMA Iringa leo, watu ni wengi mno

    Nadhani kama umeshindwa kujua rasilimali za nchi zinafanya kazi gani ,basi ndani ya CCM wajinga ni wengi sana
  13. mr mkiki

    Makonda kuizika CHADEMA Iringa leo, watu ni wengi mno

    kutokana na siasa za tanzania ,wanaweza kudhani kuwa Makonda ni mtatuzi wa matatizo. wanashindwa kutatua kero wapo na mauzauza kila siku. siasa za nchi yetu ni nyepesi sana.
  14. mr mkiki

    Waliokuwa wanasafirisha Tani 3 za madawa ya kulevya wafikishwa mahakamani

    Tani 3 ni mzingo mkubwa sana.........!!!! Kuna watu wengi sana nyuma na wote ni viongozi, hakuna KESI HAPO
  15. mr mkiki

    Kesi Pauline Gekul tutafute Mahakama ya Kiroho hii ni "Dawa ya Wanasiasa wa Tanzania kushughulika nao kiroho tu, utawala hakuna

    Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imefuta shauri la jinai lililofunguliwa na Wakili Peter Madeleka dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Paulina Gekul la kumfanyia shambulio la mwili Hashim Ally. Uamuzi huo umetolewa leo December 27,2023 na Hakimu Mkazi wilaya ya Babati Victor...
  16. mr mkiki

    CCM mtaacha lini tabia hii ya kipuuzi? Acheni watoto wetu wakue, wachague mlengo wao wa KISIASA. SIASA sio DINI.

    Watoto wa UMRI huu kuwaingiza kwenye SIASA ni kinyume na KATIBA ya Jamhuri ambako hata kupiga kura kunaanzia umri wa miaka 18. CCM mtaacha lini tabia hii ya kipuuzi? Acheni watoto wetu wakue, wachague mlengo wao wa KISIASA. SIASA sio DINI. MNAWABAKA KISIASA watoto hawa. Hamsikii...
Back
Top Bottom