Search results

  1. D

    Hakuna evidence(Receipt) kuwa NSSF wamenunua kiwanja kwa Milioni 800 Kigamboni

    Na mimi nataka nione hiyo risiti ndio nitaamini
  2. D

    Anna Tibaijuka Viwanja vyake watamnyang'anya?

    What about mradi wake wa Kigamboni???
  3. D

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Pia kuna mradi ya kiwanda cha sukari bagamoyo which was approved by the cabinet . Land for equity . The value of land 40% imagine 40% ......NSSF wametoa 20% only
  4. D

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    SWALI: The concept of land for equity hakuanza NSSF. Imeanzishwa na NHC tokea wakati wa Masebo then Marehemu Sang'anya then Madekwe na sasa Mchechu ameiendeleza. PPF TPDC TBA na wengineo wamefanya. Why iwe dhambi kwa NSSF? Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha!!!!!!
  5. D

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Kwa wanauliza why NSSF wasinunue ardhi kigamboni. The answer is waulizwe NSSF wenyewe watoe majibu waliyompa CAG . Why NSSF leaked the draft report but NSSF does not want to leak majibu? Wanajua wataumbuka. CAG ni mtu makini asingetoa clean report Kama kuna madudu. Pia audit ilifanywa...
  6. D

    Waziri wa Mkapa aomba haki itendeke baada ya kudhalilishwa mtandaoni

    Kama.anataka haki aanze na binti yake anaitwa Nambua ambaye ana uraia pacha kinyume na sheria za nchi
  7. D

    Kubadilisha jina ni zaidi ya kughushi vyeti, inaweza kuwa ni kuficha historia ya uhalifu

    Kuna sheria inayo inayokataza mtu asibadiliishe majina Tanzania ?
  8. D

    Mifuko ya hifadhi ya jamii yaanza kujenga viwanda

    Kwa umeme upi? Tuache utani jamani
  9. D

    Mzee Mwinyi Usilalamike, Hii Dhambi Uliishiriki Dodoma

    Mwinyi tatizo ni muislam Hilo ndio tatizo la owners,admin,moderators kama akina Pasco na members wa Jamii forums. Hakuna informed debates humu ni udini kwenda kwa mbele
  10. D

    Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

    Mambo ya kicha with na shirki
  11. D

    Makamu wa Rais Samia Suluhu aandika historia aina yake

    Barabara ni gharama . zaidi kuliko ndege. Fact
  12. D

    Ushauri: Sera ya kubana matumizi tuanzie Ikulu

    Aweke wazi payslip yake tuone analipwa kiasi gani kwa mwezi na kama analipa PSPF na kodi anazokatwa
Back
Top Bottom