Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina kuanzia Yutong mabasi haya mpaka malori cjaona stop engine/engine break..Ni kwanini pengine mchina...
Hayo ni matunda ya kuwa kada wa ccm mkuu.....analipwa sasa.....achana nae!!!!!!QUOTE="G Sam, post: 16758649, member: 137610"]Hivi nyie mnaounga mkono uteuzi huu mnatafakari kwa kina kweli? Iweje mtu akatae kutumikia jamii eti kwa sababu maslahi ni duni then awaache ambao wametumikia kwa taabu...
Muheza hususani huko amani iko nyuma sana...lkn ndo ambako ccm imetamalaki.huwaambii kitu lkn maisha duni sana licha ya kuzalisha pilipili manga, karafuu, iliki na mdalasini kwa wingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.