Search results

  1. Klaas

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Nimependa hizo ratiba za asubuhi na mchana zimekaa poa sana
  2. Klaas

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Tujue kifo anapanga Muumba. Hata membe angepewa urais bado angefia madarakani. Ile ya watu wazuri ndiyo wanaoishi ipingwe kwa nguvu zote
  3. Klaas

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Fatilia bunge utaona wanavyopigiwa debe wanaojitolea
  4. Klaas

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
  5. Klaas

    Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    Kumfurahisha boss, itawa nae ni wa upande huo
  6. Klaas

    Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

    Weka wimbo hapa tuusikie
  7. Klaas

    Ushahidi: Lema anazidi kuporomoka, Mwanza walimsusa

    Mama aliona mbali sana kuruhusu siasa za majukwaa. Alifahamu fika upinzani wamefirisika kichwani. Waendelee kuongea tuone walivyo kichwani. Hii ni albu kubwa na kujidharirisha. Yeye akiingia ataajiri nchi nzima(vituko)
  8. Klaas

    Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Huku kitaa walimu wanaheshimika sana kwa kuchungulia fursa na uwekezaji. Karibu kila baada ya nyumba tano utakutana na nyumba ya mwalimu tena ya kisasa na umri bado mdogo. Kuhusu usafiri wanajirahidi sana kuwa na usafari binafsi hasa IST, crown, fielder, noah nk. Baada ya miaka kadhaa ijayo...
  9. Klaas

    Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Huku kitaa walimu wanaheshimika sana kwa kuchungulia fursa na uwekezaji. Karibu kila baada ya nyumba tano utakutana na nyumba ya mwalimu tena ya kisasa na umri bado mdogo. Kuhusu usafiri wanajirahidi sana kuwa na usafari binafsi hasa IST, crown, lumion, noah nk. Baada ya miaka kadhaa ijayo...
  10. Klaas

    Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Ukikaa miaka minne kitaa bila ajira, utajua Mungu yupo au hayupo, kusali ni muhimu au siyo muhimu.
  11. Klaas

    George Mpole amka la sivyo utapotea

    Kuna namna mbalimbali za kudai haki, yeye kachagua mgomo na yupo Sawa. Sasa bila kulipwa atakula nini na familia yake?
  12. Klaas

    Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    Dunia imeisha, mtoto anatamani anavyofanyiwa mama yake!! Anatamani mkuyenge wa baba yake... Hivi hizi confidence kwa mabinti wa siku hizi wanatoa wapi? Mbona hawaogopi watu wazima, na wanaona kawaida tu. Watu wazima tunaweza kuepuka hili kwa kukaa nao mbali
  13. Klaas

    Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Unaweza kupitia ulichoandika na utatambua kama una akili au huna akili
  14. Klaas

    Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Uandishi wako unaweza kusadifu kama cheti feki au la!
  15. Klaas

    Kila nikidai tendo la ndoa kwa mke wangu anadai anaumia

    Muulize upande mwingine pia anapata maumivu? Jibu lake litakuongoza kuuliza maswali mengine
  16. Klaas

    Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Hiyo ofisi yake haina secretary? anaimiliki mwenyewe bila mtu mwingine kuhusika na shughuli nyingine hata za usafi? Ninavyoelewa kwa nafasi take lazima ofisi yake itakuwa na wasaidizi kadhaa, waanze kuulizwa hao.
Back
Top Bottom