Search results

  1. G

    Naomba kujuzwa gharama za CPA, NBAA kwa level ya foundation

    Habari zenu wataalam, kwa kifupi Mimi kwa level ya bachelor nilisoma Economics ila napenda sana niwe na CPA na ninataka january nianze kujifua kwa ajili ya mitihani ya mwezi mei. nimeangalia gharama za Review class pale CBE kwa level ya foundation (masomo 5 ) ni Tshs 400,000. wadau nimekuja...
  2. G

    WHEY PROTEIN GOLD STANDARD VS NITRO TECH SUPLIMENTS

    Kwa wale ma body builders, jamani na mimi nataka nile suppliments niwe mbavu nene kama nyie, ipi ni nzuri kati ya hizi mbili? Naomba maoni yenu.
  3. G

    FIFA world mens football Ranking, why two teams hold the first place?

    Nimeangalia FIFA world Mens Football nafasi ya Inashikiliwa na Belgium na France naombeni Ufafanuzi wataalam.
  4. G

    Naombeni ushauri kuhusu laptop

    Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke pasipo ushauri wenu wadau.
  5. G

    KUTUMA COPY ZA UHAMISHO TAMISEMI.

    Habari za mihangaiko wataalam, naomba kuuliza kwamba baada ya taratibu za kuomba uhamisho TAMISEMI Kufika kwa RAS (Katibu tawala mkoa), je kuna ubaya nikituma copy zangu kwa njia ya EMS kule makao makuu Dodoma.maana nasikia ofisi za RAS huwa wanachelewesha kuzituma documents kule makao makuu...
  6. G

    Application for Masters and PhD (2018/2019) is now open at UDSM

    Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
  7. G

    MA economics vs MBA at university of Dar es salaam

    Habari za majukumu wapambanaji, naombeni ushauri kutoka kwenu. Hivi kati ya Masters of Business Administration na Masters of Economics (University of Dar es salaam), which one is more valuable in terms of job prospect. I appreciate you all for your advice.
  8. G

    Naomba msaada kuhusu DAAD scholarship ya Ujerumani

    Habari wandugu, kwa yeyote yule ambae amewahi kupata scholarship ya Ujerumani kupitia DAAD Scholarship naombeni msaada nami nijaribu kuomba. nitashukuru kwa mawazo yenu.
  9. G

    Maandalizi ya usaili TRA.

    Wadau katika kusaka madude ya kujiandaa na usaili wa TRA nimekutana na hili desa, kama vipi na nyie muongeze madude ili tuliamshe siku tukiitwa pale duce.
  10. G

    Is cpa (t) still worthfull for job upgrading?

    Habari wapambanaji, mimi nimesoma bachelor ya Economics. katika harakati za kujiongeza katika kutafuta riziki, nataka nitafute CPA au ACCA. Kwa kifupi nina ndoto ya kufanya kazi kwenye mashirika ambayo mshahara unaanzia 2M and above. Lakini kuna mdau kaniambia kuwa CPA(T) ilikuwa zamani siyo...
  11. G

    Benki ipi ina riba nafuu kwa mkopo wa watumishi?

    Habari waungwana, nataka nikope benki amount MILLION 8 AU 10 (5 years) Kati ya benki aifuatazo: NMB BANK OF AFRICA (BOA) CRDB Sasa waungwana naomba mnisaidie, benki ipi kati ya hizo ina riba nafuu (makato madogo). NITASHUKURU...
  12. G

    Naombeni msaada wa material, CPA (T) foundation level

    Husika na mada tajwa hapo juu, Naombeni msaada wa material yafuatayo: FOUNDATION Level Quantitative Techniques, Business and Management, Accounting,Business Information,Business Law. Pia nilikuwa naomba ushauri, ni masomo yapi kati ya hayo naweza kukomaa bila Review Class na kupass...
  13. G

    Vipi kuhusu ajira za TRA wa walioajiriwa serikalini.

    Habari Wapiganaji, mimi ni muajiriwa wa serikalini, nipo local government nimeliona tangazo la kazi la TRA nafasi 400 zimenivutia, na vile vvile nina ndoto ya kuhama local government. kwa bahati nzuri nimelisoma hili tangazo vizuri, nikakutana na kipengele kinasema mtumishi aliyeajiriwa...
  14. G

    Watendaji kata tumesahaulika

    Awali ya yote, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza Taifa, ni kazi ambayo ukiwa nje unatamani kuifanya lakini ukiwa ndani unapambana na majukumu mazito ili kutekeleza ahadi ambazo wananchi walihaidiwa. Ama kweli uongozi ni kazi nzito , vile vile ni Jalala nikiwa namaanisha kwamba huwezi...
  15. G

    Shirika la viwango Tanzania (TBS) kazi yenu ni ipi?

    Kwa kweli mimi sijui na wala sielewi hili shirika la Viwango Tanzania linafanya nini. Mheshimiwa Rais, Dr. Magufuli tunaomba ulifanyie Transform maana sisi wananchi tunaibiwa. Moja ya kazi za hili shirika ni kukagua na kuhakikisha kwamba bidhaa zinazoingia Tanzania ni bora na zinakidhi viwango...
  16. G

    No way, we were born so we must live

    Kila kukicha afadhali ya jana. Funga mkanda, vuta pumzi, anza na nguvu mpya ya matumaini. Maana sipati picha bodi ya mkopo wakianza kukata hiyo asilimia 15 hali itakuwa vp?. alafu kama kweli mikopo kwa wenye madeni haitatolewa hadi utakapoclear deni la bodi, It is really and obviously that...
  17. G

    Best way to stop masturbation

    best way how to stop masturbation :how to quit masturbation fast guide best guide to stop masturbation before reading this guide i just want to tell you that if you find this site helpful , help the site with your like on facebook to spread the message and help other people who want to stop...
  18. G

    Wadau Wa Muzik Wa Zamani Tukutane Hapa.

    Kuna bendi ikikuwa inaitwa washirika tanzania stars, Watunjatanjata wameimba nyimbo kali kama vile Julie,penzi laulaghai naomba kujuzwa ile sauti kama ya kike ni ya nani siku zote mimi nilikuwa najua ni ya Kida Waziri.
  19. G

    Kuna ambaye aliwahi kushinda hii green card ya Marekani?

    Leo nimefungua official website ya green card ya marekani, www.dvlottary.state.gov na kukuta bado iko active. Deadline ya kuapply ni tarehe 7 mwezi huu.Wadau kuna aliyewahi kushinda hii green card hapa Tanzania, maana nimeshaomba mara nne kila nikicheki results nakuta, based on the given...
  20. G

    IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores

    IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores Wadau ipi ni rahisi kuscore, uzoefu wenu please.
Back
Top Bottom