Search results

  1. S

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwanza lazima tujue kampuni ipi unataka kuisajili. Limited au business name? Hata hivyo ukiingia Google kwenye Website ya BRELA utapata habari zote. Pia kama kwa mfano una nia ya kuwekeza kwanzia US$ 100,000 unaweza kutembea TIC(angalia website yao), hawa watakufanya kazi zote kwanzia usajili...
  2. S

    UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Unyanyasaji utaendelea kwepo hadi utamaduni hutabalisha. Mtoto wa kike tangu anazaliwa anajua kwamba atakapokuwa mkubwa ili aolewe mchumba wake lazima alipe mahari. Kila mtu anaona ni sawa ila anaelipa anaona kama amenunua mali. Sawa sawa kama vile alienda sokoni na wazazi mara nyingi wanaona...
  3. S

    Mali yaahirisha Uchaguzi Mkuu wa Mwakani ili kupata Katiba Mpya kwanza

    Subiri waweke mambo yao vizuri, wafanye marekebisho ili mkuu wa jeshi agombee urais, ashinde, akae madarakani hadi mwisho wa siku zake au hadi mapinduzi mengine 🤣
  4. S

    Looking for advocate

    Bene. Ora che hai dato la tua risposta stupida, riposati che per oggi ti sei sforzato a sufficienza
  5. S

    Looking for advocate

    We are starting a new company. We are looking for a young lawyer, male or female, to be employed full time. Great salary and many benefits. He/she must be able to defend in court, to sign official documents and must have good relational and negotiation skills. Post your CV and references...
  6. S

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari zenu, salamu kutoka Italy, nataka kusajili campuni mpya Tanzania, nimeangalia website ya BRELA na katika downloads zao, kuna sample ya Memorandum. Sasa wasiwasi linakuja kwasababu nikiangalia property ya ile File Word, inaonekana imeandikwa mwaka 2007 wakati mimi mwaka 2014 nimeisajili...
  7. S

    Tetesi: Wakuu wa mikoa, wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa serikali wahoji kurudisha posho za Mwenge

    Mimi nakubali 100% nia ya Rais, kinachoshindwa kuelewa na labda wengine watanisaidia na hilo, ni kwasababu gani agizo la kutodhuria sherehe ya mwenge limetangazwa baada ya watu kujipanga na kupokea posho? Kupanga si dalili ya utawala bora? Je kwa stahili hii kweli tutaweza?
  8. S

    Utaratibu upi, kuhamisha hisa za kampuni?

    Naomba msaada wa kuelewa sheria ya nchi inasemaje kuhusu utaratibu wa kuhamisha hisa za kampuni "incorporate under the companies ordinance (Cap. 212). Kampuni ni Ltd.Naomba msiniambie ulizia BRELA, nahitaji mtu wa forum ambaye anaifahamu hiyo sheria.Ahsante
  9. S

    Fujo ina maana gani katika sheria ya Tanzania

    Habari za siku nyingi, nilikuwa naomba msaada wa watalaamu kuhusu maana yake "FUJO", katika sheria ya Tanzania. Je mtu moja, anaweza kuletea fujo, bila kumshambulia kimwili, bila kumshika wala kumgusa, bila kumtishia wala kumtukana mtu mwingine yeyote, na pia bila kurushia chochote hewani au...
  10. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Habari zenu mabwana na mabibi? Napenda kuwasilisha kwamba, hatimaye, nimeshinda kusuluhisha matatizo yangu.[ Balozi wa Italia, alikutana na Mhe Waziri Nchimbi, na baada ya kujadili mambo, Waziri tarehe 21 mwezi huu ameifuta P.I. didhi yangu. Sasa narudi, na nitaiomba mahakam tuendelee na kesi...
  11. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Ahsante, ila mimi ni Baba, sio mama, kwa hiyo mwanaume
  12. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Ahsante sana, rafiki yangu Mka, pia mimi nilikuwa tangu mwanzo nataka kumfungulia kesi na Kalembo, kwa jinsi, alinichafua jina langu, tena kwa uwongo, maana mimi nilikuwa na kampuni yangu kabisa yenye usajili BRELA. Pia nakushukuru sana kwa ushauri kuhusu mto. Sasa nakuomba cha mwisho, huyu...
  13. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/94345-hii-nayo-ya-rc-kalembo-imekaaje.html Pia natpenda kuwafahamisha kwamba kwa kila kitu nilichoandika katika topic niliyofungua kuna attachmets kwa kila uthibitisho. Nasubiri na hamu kubwa ushauri na maoni yenu. Ahsante
  14. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Acheni na mafia, mafia ni kitu kibaya sana, na pia sitaki kuitumia njia mbaia, mimi nataka niwe na haki za binadamu. Haki ya kukaa karibu na mtoto wangu, sawa sawa na wengine ambao walitengana lakini wanajali sana mazingira masafi kwa watoto wao. Mnaona, mimi sijawahi kusema nataka mtoto aishe...
  15. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Samahani, labda sijawaelewesha vizuri kuhusu maana yake P.I. (prohibited immigrant) yaani, nilifikuzwa nchi kwa sababu nilivikanyaga miguu viongozi vyenu katika yule mama mjinga ambaye hana akili hata kidogo. Nawaomba mniamini, ninachokisumbua kichwa sana ni kwamba yule mtoto, ambaye hana makosa...
  16. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    jAMANI, MIMI NILIJARIBU NJIA ZOTE KWA KUELEWANANAE, ILA AMEKATAA KILA AINA YA MAELEWANO. SASA NA ELIZABETH, HAMNA SHIDA KABISA, TAYARI NIMESHANDAA DOCUMETS ZOTE ILI AFIKE ITALY KWA KUISHI PAMOJA. JE NELSON LAKINI? SASA MIMI NAWAOMBA KAMA UNAWAFAHAMU NJIA YA KUNISAIDIA KWA KUIONDOA HIYO P.I.
  17. S

    Maombi ya msaada kutoka baba mwupe ila binadamu kama weusi

    Habari zenu? Naitwa Giuseppe Zingaro, raia wa Italia, nimezaliwa Ragusa – Italia, tarehe 26/11/1960. Mwezi wa 4 mwaka 2004 pamoja na mchumba wangu wa enzi ile, Edna Boimanda (kwanzia sasa Boimanda) raia wa Tanzania, tulifungua kampuni chini ya jina la ITANZA ENTERPRISES LIMITED. Katika kampuni...
Back
Top Bottom