Search results

  1. M

    Natafuta wateja wa Cement ya Dangote

    Bei ni moja mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Natafuta wateja wa Cement ya Dangote

    Nipo dar natafuta wateja watakaoweza kununua cementi ya dangote kwa Bei ya jumla.kuanzia mifuko Mia sita yaani gari moja uneletewa popote Tanzania Bei 12960.karibuni sana mfumo wa malipo ni cash .reja reja 13500. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Piga 0743790009 kwa vitabu vya jumla wapo kariakoo mtaa wa Aggrey Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

    Inategemea na loss ya usikivu hizo mashine ni lazima zinunuliwe kwa kuonyesha vipimo ili wajue wanakupa mashine za aina gani.nenda muhimbili kuna jengo la richmond uliza hospital ya vifaa vya masikio utawaona na watakushauri aina gani ya kifaa ununue.nilishawahi kununua cha mtoto set kwa laki nane
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi hapa mbagala umeme ni was mgao maana hatujawahi kupata umeme jumamosi.zackiem Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Naomba namba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya

    Za asubuhi wakuu naomba nisaidiwe namba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya . Natanguliza shukrani zangu Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
  7. M

    Naomba ufafanuzi: Upendo Peneza kwenye ziara ya Waziri Mkuu Ruangwa

    Ğh Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
  8. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu nashukuru kwa shule hii zaidi ya PhD naomba hii fursa isinipite kati ya hao300 was mwanzo
  9. M

    Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

    Jf idumu miaka mia nimecheka sana
  10. M

    Kama umewahi kupiga au kupigwa kwenye mahusiano sogea hapa

    Picha tu ndio kitu cha maana kuunogesha huu uzi
  11. M

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Ttcl nafasi kubwa nai zinazohitaji maamuzi yenye tija wapo watu ambao ni std seven.mna kazi kubwa sana maamuzi mengi ya kizee tu ndio yamejaa hapo
  12. M

    TTCL ni Jipu, city centre hakuna mtandao wiki nzima!

    Ttcl ndio kampuni inayotoa data ya ukweli kwa hapa tz.acha kulalamika mjerumani sijui mwingereza angalia na ubora wa kifaa chako huna data wiki nzima na uko mjini ni uongo kabisa.hama kwani umelazimishwa kuwa ttcl nenda kwa makaburu wenzio
  13. M

    Niuzie Mtungi mdogo wa gesi kg 15

    Kampuni gani unataka nina mihani
  14. M

    Niuzie Mtungi mdogo wa gesi kg 15

    Fanya 40
  15. M

    mashine ya kutotolesha vifaranga inauzwa

    habari za kazi nauza incubetor yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 1557.ni mpya kabisa bei 4300000.ipo dar kwa ataehitaji picha anaweza kuzipata kupitia wasup number 0762342300.ni automatic na inatumia umeme karibuni sana.
  16. M

    Batiki original

    Hizo bei gani
Back
Top Bottom