Search results

  1. major2

    Nimepata Chuo lakini nimekosa ada naomba Ushauri/Msaada

    Habari wanajamvi, Poleni na majuku, Niko hapa kuomba ushauri.Nimebahatika kuchaguliwa Chuo kikuu Huria Tanzania kwa Masomo ya shahada ya Kwanza ya Sociology 2016/17. Mpaka dakika hii sijapata ada na tarehe ya Kureport ni tarehe 4/12/2016.Naombeni ushauri wenu.Nifanyeje? Epuka kukejeli au...
  2. major2

    Open University wabadili tarehe ya Orientation

    Open University wamebadili tarehe ya Orientation kwa Mara nyingine tens toka tarehe 12-14 November mpaka 2-4 December.
  3. major2

    Open University Wametoa majina Und2016/17

    Haya kwa wale wote waliokuwa wameomba open university majina yametoka.
Back
Top Bottom