Search results

  1. mwanaNyamilele

    Jini mahaba ananipa mambo

    Pole sana mkaka ni kweli mambo hayo yapo wabishao bado wadogo hayajawakuta au yanawakuta wanafurahia ile raha ya usiku wachana nao nikwambia mimi nijuavyo wengi niliowasikia wakipata matatizo hayo kwa imani zao wengine walikuwa wakisali sana wakati wa kulala, wataalam wengine wanakupa dawa za...
  2. mwanaNyamilele

    Mtandao wa ngono!..

    Ni joke hiyo lakini ndivyo ilivyo katika maisha yetu watu wote hao wakahapo pamoja hayo utokea hata kama si chen:ballchain: yote hiyo ila Baba na mtoto wake wa kiume wakiwa na Housegirl wanachangia, Baba, mkewe akiwa na mdogo wake baba anakula wote n.k. hayo yamo tuwe makini sote tuwapo na...
  3. mwanaNyamilele

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Nakusifu umekaa kitako na kuandika ujinga wako humu nawe walau upate kundi litakalokufata HUNA UTAKAYEMPATA PENGINE SHETANI MWENZAKO USHINDWE. Hayo maandiko ungekuwa unayafata na kujali ungegundua toka mwanzo wa makanisa yenye kutumia nguvu za kiza yaliyopo Mwenge, Msasani, Mbezi na kungineko...
  4. mwanaNyamilele

    Vicky Kamata aokoka

    Jamani ukianza hoji dhambi za mwenzio kwanza tazama zako. Huyo mdada kama kasema anampenda Yesu akimanisha kaokoa ni yeye kwani uokovu ni matendo sasa katangaza mbele ya viumbe tumesikia lakini siri kubwa moyoni mwake na mungu amsikilizaye ushuhuda wake kama kweli kaachana na yote katika amri...
  5. mwanaNyamilele

    Unamwabudu shetani Bila kujua!

    Ni kweli wengi wanamuabudu shetani pasipo kujua kwa mfano: nani ambaye hajashika noti ya tanzania ya shilingi mia tano? itazame vyema inapicha ya nyoka pembeni je Nyoka huyu kwa alama za nchi yetu anamanisha nini mpaka picha yake itambulike ktk pesa za TZ? Pia tazama Nembo ya Hospitali ya Taifa...
Back
Top Bottom