Search results

  1. E

    Google adsense inauzwa

    Weka bei hapa km hutojali.
  2. E

    Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Acha upoyoyo,mkeo anajua kuwa unacheza mechi za nje,cha msingi asipate ushahidi,akijua utakua bonge la fala.
  3. E

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Kwa hiyo unaandika under the influence of the Holy Ghost[emoji33][emoji33]
  4. E

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Kwanini aende jela wkt amepata pa kuanzia,he has a chance to play both sides akapata anachokitaka,plus msaada wa isaac,the bold fikiria tena,ray ana alternative,hakuna haja ya kumpeleka jela,unless unataka kutunyima utamu wa Cheupe[emoji2] [emoji2]
  5. E

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Nimependa ulivyonifanya niguess baba bite yuko upande gn,nzuri sana.
  6. E

    Nauza matetea ya mbegu

    Habarini wadau wa ufugaji,nauza kuku matetea wazuri kwa ajili ya mbeg,umri kati ya miezi 5 hadi mwaka,bei 15,000 maongezi yapo,wanapatikana mbezi louis,dar.
  7. E

    Baba mwenye nyumba kutembea na beki tatu ni haki yake

    Kama ni hivyo biblia isingesema mwanamume atawaacha baba na mama yake ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja. Pili Yesu aliwaambia wayahudi kuwa Musa aliwaruhus kuoa mke zaid ya mmoja sababu mioyo yao ni migumu.
  8. E

    Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Km egyptians were black bs na israelites walikua black,km mmesoma kitabu cha Exodus,musa alivkua jangwani mabinti wa yule kuhani walipomwona walidhani musa ni egyptian,kwa maana hiyo musa alikua black,kwa sababu kwnn wadhani yeye. I mmisri km alikua white!?
  9. E

    Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Archaelogists wameshindwa kuthibitisha kuwa kuliwahi kuwa na mfalme anaitwa Daudi Israel na kuwa alikua na ufalme wa level zile,hiz ni habari za kusadikika tu. Sasa kwnn tunashindwa amini za kwetu.
  10. E

    Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Kamanga bay,yaani tz hatuna tu kumbukumbu za kutosha,lkn Kamanga ni babu wa bibi yangu mzaa mama,nachojua khs yeye ni kidogo mno. Bibi aliwahi kunisimulia kuwa Kamanga aliota kifo cha gavana wa Uingereza wakati huo akamtuma rafiki yake akamwambie gavana,huyo rafiki yake kufika akakuta watu wana...
  11. E

    Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Inasemekana alexander the great alivoenda egypt akakuta milima ina sura nyeusi akaghadhibika ndo akavunja hizo pua akazichonga tena.
  12. E

    Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Kuna mmoja anaitwa Kamanga alikua mwanza unajua habari zake?tujuze tafadhali.
  13. E

    NACTE kuanza kupokea maombi 23/01/2017 intake ya mwezi March/ April

    Naomba kueleweshwa,hii wanaapply wenye certificates na diplomas tu ambao wanataka kusoma degree?
  14. E

    Bei za mashamba Karatu na fursa za kilimo

    Jmn wapi kilimanjaro naweza pata shamba la kukodi
  15. E

    Mashamba ya kukodi arusha

    Mm nataka shamba kilimanjaro
  16. E

    Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

    Ameyumba hasa,hii ni karne ya 21,haya mambo yapo,ni kumuomba Mungu atuepushie watoto wetu tu. But what do i knw,am just a farmer,ngoja nikaokote mayai bandani.
  17. E

    Mwanamuziki George Michael (53) amefariki dunia

    Hlf ndo ujanja,kama hupumuliwi ww sio mjanja eti. What do i know,am just a farmer,ngoja nikaokote mayai bandani.
Back
Top Bottom