Search results

  1. Blood of Jesus

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    kwani huko alikokuwa "akisoma" hakuwa anasoma communication skills? inashangaza somehow
  2. Blood of Jesus

    Paul Makonda: Mimi ni yule wa jana, leo na hata milele. Hakutakuwa na copy ya Makonda mwingine!

    mwenye sifa hiyo ni Mungu pekee. Yeye ndiye jana leo na hata milele Magu alianzaga hivyo hivyo kuchukua utukufu wa Mungu. hatima yake sote tunaijua.
  3. Blood of Jesus

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    kuna serikali ya mbinguni na serikali za wanadamu. Kufanya kazi kwenye serikali ya mbinguni ni raha sana. Yaani katika ufalme wa Mungu. kimsingi serikali za wanadamu, mkuu wao ni ibilisi aitwaye sheitwani. [mkuu wa ulimwengu huu], "mungu wa dunia hii" 2Kor 4:4. mungu inayoanza kwa herufi ndogo
  4. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    haya maelekezo ya "sio sahihi" ni kwa mujibu wa familia, ukoo, kabila, ama kitaifa kabisa!????? au bara la Afrika????? kwa hiyo kwa sasa huwa unaanika wapi nguo zako za ndani kwa sasa. huwa ninabaki na nguo za ndani, nikiwa chumbani mwangu. na wanangu huwa hawaingii chumbani mwangu.
  5. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    mtoto wangu anaachaje kuwa mpenzi wangu. "beloved one" tafsiri ya mambo ndio changamoto. hii Iko zaidi kwa mtu mweusi. vichwa vimejaa mawazo ya ngono tu
  6. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    “Wapenzi, nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi sote, naliona imenilazimu kuwaandikia, ili niwaonye kwamba mwishindanie imani waliyokabidhiwa watakatifu mara moja tu.” — Yuda 1:3 (Biblia Takatifu)
  7. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    ni nini tafsiri ya neno mpenzi. watoto wangu "wapenzi" means wapendwa sana.!!!!
  8. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    Mimi baba yako nikaja kutoka safarini, nikakuletea nguo: magauni, sketi, blauzi, viatu, chupi, skin tight, lotion, etc. moyoni mwako utanifikiriaje. ni nini tafsiri yako
  9. Blood of Jesus

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Niko hapo namba 12. sio Mfia dini ila NIMEOKOKA. kuokoka ni kitu zaidi ya dini. 1. kuokoka - kumpa Yesu maisha yako kwa maana ya kuzaliwa mara ya pili ni lazima kama hutaki kuangamia kwenye ziwa la moto wa milele. 2. tunaposhea habari za mbinguni sio kwamba tunaringa. tunatamani tulichokiona...
  10. Blood of Jesus

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    asante kwa kushea uzoefu wako. baba yako ameshawahi kukununulia nguo yeyote akakuletea?
  11. Blood of Jesus

    Nchimbi anaibua Mazuri ya Serikali dhidi ya Mabaya Machache, Makonda anaibua Mabaya Mengi dhidi ya Mazuri machache kati yao nani Bingwa wa Siasa?

    Bashite alikuwa akitafuta umaarufu wake binafsi. hata sasahivi, ndicho anachokitafuta
  12. Blood of Jesus

    Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

    ukijua una safari, ni vizuri kujiandaa. kuijua safari ni jambo jema
  13. Blood of Jesus

    Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

    mtu akitwaliwa katika misha haya, anakuwa na ufahamu wote na hisia zote. ila sio za ulimwengu huu bali katika ulimwengu wa roho. Mcha Mungu anachukuliwa na malaika wa Mungu na kupelekwa kupumzika na Bwana[paradiso/peponi]. ambaye hakumcha Mungu (m-dhambi) hupelekwa kuzimu na malaika wa kuzimu...
  14. Blood of Jesus

    Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

    Luka 16 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹⁹ Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. ²⁰ Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, ²¹ naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo...
  15. Blood of Jesus

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Bashite huwa ana over confidence. Tena huwa anamdharau huyu SSH tangia akiwa Makamu wa Rais hata saivi anajidai kujipendekeza kwake kinafiki tu
  16. Blood of Jesus

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    nadhani huyu ni yule mmiliki wa maduka ya Stop and Shop maeneo ya Mambo Bado ukielekea Moshi Kiboriloni ukitokea huku Shah Tours
Back
Top Bottom