Search results

  1. satong

    Mwenye uzoefu na Biashara ya Stationary (jumla na rejareja)

    Habari za leo wanajamvi, Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza Karibu na ahsanteni
  2. satong

    Video Editor is needed ASAP

    Hello Team, Happy Holidays and nice to e-meet you! I know that you are experts on video editing. Therefore I'm writing to ask you if you can work in Fusion/Davinci Resolve, we have a client who might have some videos which are complicated and require more motion graphics and VFX work :)...
  3. satong

    Natafuta mtaalamu wa kutumia Cat Tools

    Habari wana JF, Naomba anaejua kutumia hizi mashine transilation km SDL Trados 2021 au Memosource aje DM tuongee. Ahsante sana.
  4. satong

    Natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo

    Habari wanajamvi ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo. 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua 3: Awe mkristo 4: Awe anajua kupika na msafi 5: umri miaka 20-28 6: Akiwa mjasiriamali ni nzuri zaidi SIFA ZANGU 1: Elimu Degree 2: umri 30 3...
  5. satong

    Natafuta wateja wa kununuasamaki aina ya sangara kwa bei ya jumla

    Nauza Samaki aina ya Sangara kilo shilingi 4200 kwa bei ya jumla wanaohitaji karibuni PM .nipo Dsm ....Maelewano yapo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. satong

    Mwenye uzoefu wa biashara ya maduka ya kilimo na mifugo

    Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ABC za biashara ya kilimo na mifugo(pembejeo)napenda kufungua duka japo sijajua kama linanilipa kwa sehemu /mkoa/wilaya gani kwa hapa Tanzania . Mwenye uzoefu naomba maelekezo nikitaka kufungua naanzia wapi ?, na mambo gani...
  7. satong

    Ujumbe wa kufungia mwaka

    Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye kutaka ndugu asiye kuwa na matatizo, ataishi akimtafuta milele. Mwenye kutaka mtu wa karibu aliyekamilika...
  8. satong

    Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo) 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya, ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa...
  9. satong

    Kaka alitusomesha na kututafutia kazi nzuri ; Leo tumekuwa wateja wa watoto wake wanaouza karanga za Diamond ili waishi

    Inaumiza na kufunza. Nmekopy kwenye group moja la WhatsApp “Baba Karanga za Diamond! Baba nataka Karanga za Diamond!” Huu ni ule wakati ambao unasimama kwenye foleni na unatamani hata kuwasha gari na kusukuma magari yaliyo mbele yako. Ilikua ni jioni nimetoka kuwachukua wanangu shule na...
  10. satong

    Ushauri kwa wababa: Tukiwapa hela wake zetu tuwape hadharani na watoto waone

    Kuna mzee mtu mzima sana alisema wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu ananunua chakula anapika anawaambia watoto wanangu njooni mle nimewapikia chakula kitamu. Watoto wanasema asante mama. Hela ya nguo za sikukuu unamkabidhi mama...
  11. satong

    10 secrets of marriage

    Secret 1 Everyone you marry has a weakness. Only God does not have a weakness. So if you focus on your spouse's weakness you can't get the best out of his strength. Secret 2 Everyone has a dark history. No one is an angel. When you get married or you want to get married stop digging into...
  12. satong

    Workplace rules for happy life

    1. *Trust no one* but respect everyone. 2. What happens in office, remain in office. *Never take office gossips* to home and vice versa. 3. *Enter office on time, leave on time*. Your desktop is not helping to improve your health. 4. *Never make Relationships* in the work place. It will...
  13. satong

    Wadada mnisamehe kidogo!

    Simwongelei mtu ni ujumbe kutoka kwa mdau wa masuala ya wanawake anaitwa Lu-Patie! Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao...
  14. satong

    TACAIDS imesema vijana wa Kike 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa UKIMWI kila siku Tanzania

    Tume ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) imesema vijana wa Kike 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa ukimwi kila siku nchini Tanzania. #mytake # Kila mtanzania achukue hatua kila alipo kwa nafasi yake kudhibiti hii hali.
  15. satong

    Ujumbe kwa wadada : Una mahusiano na John lakini unampenda sana Simon

    C&P Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho. Una mahusiano na John. Lakini unampenda sana Simon. Japo mvulana aliyekutoa bikira ni Side lakini toka muachane humuhitaji tena kwakua unamuona mshamba...
  16. satong

    BELOVED

    Don’t lose yourself trying to love someone. Don't incarcerate yourself in silent hell trying to stay in a relationship that was never meant to be. You shouldn’t have to be a liar to make someone love you. You shouldn’t be so afraid of losing someone that you will do anything to make them stay...
  17. satong

    Usisononeke, Hali uliyonayo ni ya Muda tu.

    Mtu akitaka kupika maharage lazima ayachambue. Wakati wa kuchambua yale yanayoonekana kwa macho ni mabovu hutupwa na yale yanayoonekana mazima hupikwa na kuliwa. Lakini cha kushangaza, hayo mengine yaliyoonekana ni mabovu mvua ikinyesha huota na kuchanua mpaka unaweza kusikia mama akimwambia...
  18. satong

    Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili

    C & P ________________________________________ Unaweza kumpigia simu mpenzi wako mkale bata mahali flani akakwambia hana nauli na wakati anakipato kizuri tu na mbaya zaidi nauli haizidi hata buku, lakini anaweza kuja na bajaji wakakupiga buku 15. Halafu bili ikija hawezi kulipia hata maji ya...
  19. satong

    Huyu ndiye Mwanamke nimtakaye...

    Mke wangu mtarajiwa (sijui uko wapi sasa), nafahamu uko sehemu salama na ukivuta muda na 'jamaa' mwingine kabla hatujaoana kwa nderemo na vifijo..., Lakini kabla sijakuweka ndani kuna yenye kutoka moyoni kwangu machache ya kukueleza LAAZIZI... 1. My dear future wife, Jiandae kuwa mother of my...
  20. satong

    Nataka kununua gari ya kutembelea ila sijui chochote kuhusu gari

    Wadau, Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari? Ahsanteni
Back
Top Bottom