Search results

  1. J

    Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

    Nikiwahi kuishi Dodoma nilichokiona huko ni ukame. 85% ya chakula cha Dodoma hutoka mikoani na hii ni kwasababu ya ukame ukiopo pamoja na aridhi kutokuwa rafika na mazao ya chakula,Dodoma hawawezi kujilimia vyakula vyao na hii husababisha mkoa ule kuwa na gharama kubwa za chakula,mfano...
  2. J

    Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

    Huu ni ukweli usiopingika. Arusha ni mji ambao kuna maisha ya juu sana kupita mji wowote East Africa,na nasema hivi nikiwa na evidence+experience ya kutosha. Nimezaliwa Nairobi na nimeishi na kwasasa na link na watu wa Nairobi katika shughuli zangu za kila siku japo siishi huko,Arusha is...
  3. J

    Ombi la kusaidiwa

    Asante sana Mkuu nimeshakutana na hizo contact japo ulikuwa unatakiwa ufanye toka mwanzo ili kuturahisishia. Nikishafanya mawasiliano nao na kupata udhibitisho kwao nitafanya nitakachoweza aidha kwa acc yako au ya chuo moja kwa moja. Asante.
  4. J

    Ombi la kusaidiwa

    Karibu na wewe pia kwa kuwa unajua maswahiba haya...,
  5. J

    Ombi la kusaidiwa

    Asante Mkuu. Hatua ninazochukua usiku huu ni Ku visit website ya hicho chuo ili nipate full contact zao na kufanya mawasiliano nao ya moja kwa moja. Pia kuna kijana yupo hapo mwaka wa pili sasa,akichukua Economy nitajaribu kuwasiliana nae kesho asbh ili anisaidie zaidi kuliangalia jambo hili...
  6. J

    Ombi la kusaidiwa

    Asante Ngoja nivifanyie kazi alafu nitakurejea.
  7. J

    Ombi la kusaidiwa

    Tulia wewe nilikuwa sijaona lkn asante kwa kunielekeza.
  8. J

    Ombi la kusaidiwa

    Au umeweka pm..???
  9. J

    Ombi la kusaidiwa

    Mbona sioni..????
  10. J

    Ombi la kusaidiwa

    Mbona hazionekani..???
  11. J

    Ombi la kusaidiwa

    Ok. Fanya hayo mengine yanayostahili.
  12. J

    Ombi la kusaidiwa

    Hivi ni kwamba kiwango cha elimu kimeshuka au ni kitu gani..?? Mtu unaomba msaada alafu unafichaficha vitu au uweki details za kina. Nasoma chuo kimoja kanda ya ziwa...!!!!nini maana yake..?? Weka Jina la Chuo,Jina lako na risiti zako za malipo toka mwaka wa kwanza mpaka sasa. Yani ungekuwa...
  13. J

    Jengo la CCM limekuwa makazi ya popo

    Wafanyeni kotoweo.
  14. J

    Jengo la CCM limekuwa makazi ya popo

    Picha ni muhimu kwenye Uzi wako.
  15. J

    Malipo ya Madeni kwa Wafanyakazi wa Umma: May, 2018

    Dah.! Hata mie heading ndio imenileta.
  16. J

    MSIKITI WABADILISHWA JINA!

    Mkuu punguza hasira. "Vitaumbwa upya na nchi itageuka" naona sasa tunaelekea kuwa wamoja.
Back
Top Bottom