Search results

  1. H

    Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Godoro bora ni Tanform na qfl dodoma
  2. H

    Rais Samia mgeni rasmi Mei Mosi mkoani Arusha, maandalizi yafana

    Kila siku nyongeza ya mishahara na hawaongezi chamaana kazi kukata asilimia 2 za wafanayakazi, wanasiasa wanakula mema tu
  3. H

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndio shida ya Arsenal, kuanza vizuri mapema,kumaliza kaza inakuwa ngumu
  4. H

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Uwajishwaji wa viongozi kwa nchi zetu za kiafrika ni ngumu maana kuna mnyororo mrefu wa viongozi, siku tukitaka kupata maendeleo ya kweli inabidi tujitoe kwelikweli
  5. H

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Wabongo hawa, mbona wewe huwezi kuwapinga hawa wadhalim
  6. H

    Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

    Washafika hatua ya juu ya ustaarabu ila kwetu kuwajibishana tu nitatizo ndio tunavuna tulichopanda
  7. H

    Yupo wapi Gabriel Zacharia?

    Busega
  8. H

    Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Kweli kabisa yaani huo mkoa umetawaliwa na wafanyabiashara wakiarabu na kama wamemiliki mkoa, kuna jamaa tu Sikonge mafuta yanasumbua mpaka utembee km 18 ndio ukute kituo cha mafuta yaani basi tu
  9. H

    Dullah Planet aaga rasmi EATV

    Yupo Efm kiongozi, Ea radio kwenye talent retention nawapa 0 Kwenye kuibua vipaji wako vizuri
  10. H

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    Uwe unalipwa 2million za masimango wakati mwanasiasa anapiga 16 m za kupiga makofi Sikku tutakapowaheshim wasomi taifa litasonga
  11. H

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Tanzania tunahazina ya vijana kama wewe ila mianasiasa isiyonamaono kwa kizazi kijacho yapoyapo tu
  12. H

    Nitawashangaa sana chama tawala mkimpitisha huyu wa sasa hiyo 2025. Viatu vimempwaya mno!

    Kupiga kura sio tatizo, he tunaweza kulinda kura zetu maana jamaa wanambinu nyingi
  13. H

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Kwanini wenyewe hawakitumii kwenye pensheni yao Kama ni kizuri?
  14. H

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    Wanamuita Boss Amran yuko vizuri
  15. H

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    Fitna za matajiri ndioo haohao ukaombe ushauri kweli
  16. H

    Love songs thread

    Copy ya wimbo wa kund linaitwa Passengers
Back
Top Bottom