Search results

  1. Bowie

    Vita vya Kiuchumi kwenye Sakata la Bandari

    Hii sakata la bandari lina vita kubwa sana za kiuchumi kati ya UAE na nchi ya Belgium katika kuthibiti madini ya DRC. Hivi karibuni serikali za UAE na DRC waliwekeana mktaba mkubwa wa uchimbaji na ununuzi wa madini ya DRC. Bandari ya Dar es Salaam kwa kiasi kikubwa itanufaika na hii biashara...
  2. Bowie

    Tunamkumbuka Sana Kwa Hayati Rais Magufuli Kwa Kuwathibiti Hawa Wahuni

    Kipindi cha serikali ya awamu ya tano tuliona hawa wanasiasa wahuni wengi wao wakikimbia kuwa wakimbizi. Sera ya Hayati Rais Magufuli ya kuwadhibiti hawa wanasiasa na wanaharakati wahuni ilifanikisha kwa kiasi kikubwa kwa miradi mikubwa kuanza na kufanikiwa bila kelele wala matusi. Ni wakati...
  3. Bowie

    Rais Samia Kuwa Mikhali Gorbachev wa Tanzania?

    Rais mstafu wa Urusi alipoingia madarakani mwaka 1985 aliingia na sera za Perestroika na Glasnost na hii uhuru wa kuvuka mpaka na kusababisha kuvunjika kwa muungano wa taifa la USSR. Hapa Tanzania Rais Samia toka ameingia madarakani amejitahidi sana kuweka uhuru wa wanasiasa haswa wa vyama vya...
  4. Bowie

    Tatizo la TRA ni kuwatumia watendaji wapya

    Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa. Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana...
  5. Bowie

    Tanesco Musoma Mjini Umeme Tatizo Kubwa

    Ni jambo la kusikitisha sana kwa muda wa masaa 48 sehemu kubwa ya kata ya Rwamlimi hakuna umeme na mpaka sasa inaonekana hakuna ufumbuzi ama maelezo kutoka Tanesco. Mheshimiwa MD wa Tanesco fuatilia tatizo hili kwani watu wamepata hasara kubwa haswa wafanyabiashara wa samaria.
  6. Bowie

    Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Prize

    Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa majeshi yake Somalia 2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong 3. Alifanya...
  7. Bowie

    Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Price

    Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa majeshi yake Somalia 2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong 3. Alifanya...
  8. Bowie

    NATO Genge la Nchi Wahuni

    Nchi ya Ukraine imeingia katika vita na Urusi baada ya kudanganywa na hili genge la wahuni wa nchi za NATO. Ikumbukwe wakati wa vita baridi miaka ya 80s kulikuwa na NATO iliyokuwa ikiongozwa na Marekani na Warsaw iliyokuwa ikiongozwa na USSR. Baada ya nchi na taifa la USSR kusarambatika...
  9. Bowie

    Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
  10. Bowie

    Kenya 2022 Ruto aongoza kura ya Maoni ya Urais Kenya

    Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto anaongoza katika kura za maoni Kenya dhidi ya mpinzani wake mkubwa Raila Odinga Katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya urais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
  11. Bowie

    Lazaro Nyarandu na Bilionea kutoka Uingereza Katika Sakata Wilson Airport Nairobi

    Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
  12. Bowie

    Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

    Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo? ==== Kenya secures ship suspected to be carrying radioactive substances Saturday, December 18, 2021 Health Cabinet...
  13. Bowie

    Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  14. Bowie

    CCM Mnatupekeka Wapi Kiuchumi?

    Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
  15. Bowie

    Jenerali Ulimwengu ni Nyerere wa kizazi kipya

    Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu. Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja. Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
  16. Bowie

    Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  17. Bowie

    Trillion 1.3 Makampuni Yatakayopewa Tenda Yatangazwe Rasmi

    Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati...
  18. Bowie

    CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

    Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama...
  19. Bowie

    Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  20. Bowie

    Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu...
Back
Top Bottom