Search results

  1. M

    Mbowe na wenzako itisheni kikao cha dharura na vyama washirika kujadili sintofahamu hii , msiogope kusulubiwa

    Bunge litakuwa 100 mafisiem,kwa kwa kuua na kutia vilema watu na sio kwa free and fair,hakiki na ww fukara ufukara wako utaongezeka Mara 100 over.
  2. M

    Msaada wa kuotesha nywele kwenye kichwa chenye kipara

    hakika tatizo hili,limekuwa km ni kawaida kwa vijana wadogo,kutokwa na viparavmiaka ya karibu,tofauti na zamani ambapo MTU akiwa na kipara h uwa na umri Wa 50s,anayefahamu Dawa jamani,hebu njooni kwenye huu Uzi,ili mtoe msaada.
  3. M

    Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu ameng’atuka, nafasi yake kuchukuliwa na na Askofu Isaac Amani

    Kutokuoa in dhambi,kwani ni kupingana na maandiko,hii ya kutokuoa wakatoriki cjui waliitoa WAP.
  4. M

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Usiku uleule ilibidi uende polisi ulipoti, au nenda kwa kamishna kanda maalumu
  5. M

    Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    Kujua kuhusu kuongeza mishahara rejelea kauli gongana, sizonje, mkuchika na Yule cheupe dawa aliyehamishiwa madini ndo utajua hawa jamaa, ni waongo na wamewafanya watumishi wa umma wapumbavu.
  6. M

    Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

    Dah! hapo hajamsifu Bali kamtukana, kwa anayeijua zimbanbwe ni tusi kubwa Sana hebu angalia uchumi wao kwa sasa, so akili ndogo wamedhani wamesifiwa na hata kurugezi ya mawasiliano kutoa appreciation.
  7. M

    Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    mleta mada, lazima atakuwa mnufaika wa buku Saba Saba za wakoloni weusi ( ccm),maana ukishakuwa upande wa mkoloni lazma kila hoja utakayotoa ionekane kituko kwa great thinkers(sifa ya kujiunga huko lazima uwe taahira kwanza km bwana mkubwa wao)
  8. M

    Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Kimsingi ingefika bungeni ingepita tu, kimsingi hoja karib 99% zikifika bungeni hupitishwa na hasa za chama tawala.
  9. M

    Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Kazi kujipendekeza alijua atapewa uwaziri?
  10. M

    Acheni Siasa: Serikali yaiambia TUCTA

    Tucta wote ni ccm, rejea katibu wa tucta taifa bwana msigwa ni kiongozi wa ccm iringa, so ccm ndo adui mkubwa kwa watanzania.
  11. M

    Naungana na Rais, Watumishi wasiongezwe mishahara!

    **** LA mama ako, mtoa uzi
  12. M

    Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    huwezi pata nafuu ya maisha kwa kumchikia aliyenacho,
  13. M

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    So ww inakusaidia watumishi kutopandishiwa mishahara? Maana hata ww maisha yamekuchapa(huwezi kupata nafuu ya maisha kwa kumchukia aliyenacho).
  14. M

    Mauaji na Utekaji Tanzania: CHADEMA walia na Serikali, Lema, Masha na Kigaira walaumu IGP Sirro na Magufuli

    hakika ww, hujui maumivu take hebu ngoja yakukute ww au mwansfamilia yako, Mungu wa yakobo na isaka yu hai atatenda .
  15. M

    Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    Mtoa Uzi, kweli unataka kuwalisha unga wa ndele watu ambao upeo wao c ule wa giningi, nakudhauri fikiri kwa kutumia brain na c sehemu ya kutolea kinyesi, hakika laana ikukute pamoja na huyo unayemtetea, jua watumishi wanaishi maisha magumu Sana.
  16. M

    Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Nkamia pumbavu kabisa we mzee, njaa itakuuwa, ndo nyie mnaesema vijana wajiajiri, kujipendekeza huko hatari Sana, Iga mataifa yenye maendeleo makubwa km marekani na c Rwanda.
Back
Top Bottom