Search results

  1. Me I and my self

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kama fundi unaona anafanya kazi nzuri mlipe vizuri sio materials za millions 20 halafu gharama unamlazimisha umlipe 1m.
  2. Me I and my self

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Mimi maongezi na huyu mwenza tunaweza ongea hata masaa mawili, na ni zaidi ya miaka lakini tumewaza kuenenda kama tulivyo anza mwanzo.
  3. Me I and my self

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Hapo mashariki ya kati Israel hajawahi kushindwa vita, kila baada ya muda hayo mataifa huwa yanataka yaipige Israel yaiondoe lakini yanaishia kupewa kipigo.
  4. Me I and my self

    Nchi zisizofungamana na Upande wowote ikiwemo Tanzania wataka Vita ya Israel na Hamas Isitishwe haraka

    Yani hawa Hamas wauawe, wakipigwa unasikia play for Palestina. Halafu wakikamata mtu wanachinja mapuuzi kabisa.
  5. Me I and my self

    Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

    Tunawakaribisha ila muwe wapole na heshima tunawakumbusha tu mkikosea kipigo kipo pale pale.
  6. Me I and my self

    Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    Pole mkuu shemeji akijifungua usisahau kutuma namba nikupe hata 10000 ya mboga
  7. Me I and my self

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Mkuu magonjwa mengi ya virus huwa inakuwa kazi sana kupata tiba ya kuponya bali kunakuwa na tiba ya kupooza. Hata wao hawana dawa ya mafua bali ya kutuliza. Hata sisi pia tunazo nyingi tu za miti shamba. Mjinga wewe sio unaropoka tu
  8. Me I and my self

    Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea

    Kijana mchovu sana cha kwanza anapumzika wakati inabidi unaunga ety na ukute ni dk 2 tu chaliiii
  9. Me I and my self

    Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Si ndio kama Nape kipindi kile sa hizi anajidai Papa...
  10. Me I and my self

    Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    Kwa nini Africa inapita kwenye mapinduzi ya kijeshi.
  11. Me I and my self

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Ni kweli pale naona kama alipanic na akikosa hekima sema wanawake ni waropokaji.
  12. Me I and my self

    Nishati ya Petroli yaadimika kila kona ya nchi

    Ni kweli ingawaji sijajua lakini kuna jambo kubwa linakuja sio Zuri, huyu Samia namuonea huruma sana atateseka.
  13. Me I and my self

    DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

    Majizi yameambia ukweli wa mkataba yameona aibu yanamalizia hasira kwa Slaa, mlegea macho utafikiri imo hapo anahisi kifua kinapasuka na kufura kwa hasira. Maji hayuzuiwi kwa kuta bali yanatafutiwa njia, hata mkimvua ukweli kawambia.
  14. Me I and my self

    Sina imani na mwenendo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Yale ni mafisi tu mkuu ni wa hovyo kazi ni kugonga meza tu yani yale majizi...! Ni wachache sana wanaopigania masirahi ya Taifa.
  15. Me I and my self

    Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Yapo huko yanakumbana na raia alievaa hata mfanano wa kombat ya jeshi la U.S Yani ni mapuuzi balaa najua kuna wenye akili watatoka mule.
  16. Me I and my self

    Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Ya hapa kwetu mkuu ni bure kabisa mpaka bandari inataka kuchukuliwa kwa mkataba wa ovyo yamelala tu.
Back
Top Bottom