Dawa ya Muungano ni kuuvunja tu. MUUNGANO! Hauna faida. Wananchi wa Zanz hawautaki. Viongozi wa Zanz wanautaka, sio kwa sababu wanaupenda, bali kwa sababu unawapa vyeo na mafedha ya kumwaga. Angalia, kutoka Zanz kwa sasa (ka-sehemu kenye watu laki 8, mara tano ya mkoa wa Mwanza wenye watu...
Kilikuwa ni kikao cha KUU (Kamati ya Ulinzi na Usalama) kwa ajili ya kusaili vijana wa kujiunga na JKT.
Mara akaingia kijana mmoja OFINI KWA DC, Mkuu wa Wilaya ya Urambo kwa kile kilichoonekana kuwa alikuwa ametonywa historia ya kijana SEFU ALI bila shaka na TISS akamuuliza, "Wewe ni...
Taanzania, tanzania, ningekupenda kwa moyo wote ... kama ungekuwa na viongozi wanaokupenda. Lakini duuuuuuuu, viongozi wankuingilia kinyume na maumbile, mimi nitakupendaje? Inasikitisha, sheria kubadilishwa ili serikali iweze kununua vitu CHAKAVU. Ama kweli tumekwisha ...
Nasoma sheria kwa makini saaana sasa, hivi karibuni nitakuwa Arusha kuwatetea CDM ninayoipenda. Nitajitolea, sitaki kulipwa hata senti. Hafungwi mtu. Duniani kote kama hamjui, uhuru wa pili (badala ya ule wa 1961) ndiyo mgumu kuliko wote kuupigania. Kesi za kutengeneza hazifungi mtu. Ni...
Ni kweli Usalama wa Taifa hawamsaidii Kikwete, kwani Tanzania hakuna Usalama wa Taifa. Hakuna kitu kama hicho. Kama kipo, basi ni kwa ajili ya kazi nyingine, siyo kwa ajili ya Usalama wa Taifa kama unavyofahamika kimataifa. Kimataifa Usalama wa Taifa unahakikisha raslimali za taifa zinalindwa...
WaTANZANIA msichekecheke, hili ni jambo kubwa sana. Kwa kusema hivyo, KIKWETE Rais amevunja Katiba yao wenyewe ya mwaka 1977 na aondoke. Juzi hapa alisema CHADEMA wamevunja Katiba, na wapambe wake wakashika matarumbeta na kutuimbia mdundiko wa kwamba CHADEMA wamevunja Katiba. Sasa Kikwete...
Idara za usalama wa taifa wa nchi husika ndizo hushughulika na mambo hayo ya piracy & money laundering. Marekani ni CIA ilisaidiana na FBI, Uingereza ni MI5 ikisaidiwa na SFO nk. Tanzania puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Usalama wa Taifa, TISS, ni usalama wa mafisadi wa CCM. Hawalindi nchi...
CCM na Gadafi wanafanana. CCM mafisadi, Gadaf dikteta. CCM wamrudishie vitu vyake, pesa za kampeni alizowalipa ili wamuunge mkono kwa mawazo yake ya kuundwa kwa the United States of Africa ...
ZITTO! OK. Mimi namjua kama mtu atafutae umaarufu wa chee, a photogenic or a fame monger. Zitto shida yake ni umaarufu anaoutafuta kwa udi na uvumba, na kwa sasa hawezi kuupata kupitia CDM kwa kuwa wapo wanaostahili sifa kuliko yeye - JJ MNYIKA, LISSU nk - na kwa kweli ataondoka CDM, hilo liko...
MH VICK KAMATA MBUNGE WA CCM na wakala wa mafisadi tunayemfahamu fika, katumwa kuimba, na kaimba na tumemsikia, kwa sura anavutia lakini hatumpendi kwa kuwa ni wakala wa mafisadi.
VICK kaimba, "... sikumbuki kuku (niyeiba) ... nakumbuka msamaha wa mfalme (niyemuibia)...". Bahati mbaya kuku...
NDIYO. Lakini nani wa kuiongoza? Wahujumu uchumi ndiyo wanaotutawala. Hao ndiyo mafisadi wenyewe. Basi, sisi wenyewe wananchi ndiyo tunaopaswa kuiongoza. Tuupuuzie mbali madai ya mafisadi na mawakala wao kuwa, kupambana na ufisadi ni UHAINI. Tumeanza tusikate tamaa...
Hawana jipya hao wanaoitwa 'VIJANA WA CCM'. Kwanza siyo vijana wa CCM, ni vijana wa mafisadi. CCM haipo, ilishakufa. Kilichopo ni genge la mafisadi.
Hakuna mtu anayeweza kuandamana kuunga mkono wapambe wa mafisadi halafu akajiita ni 'KIJANA WA CCM YA NYERERE'. Hakuna kitu kama hicho. Wapuuzwe...
Hapana. CCM wanaogopa mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa nini? Kwa sababu CCM na serikali yake chini ya mawakala wa mafisadi, ndiyo ufisadi. Mtu yeyote anayepambana kutomeza ufisadi ni mhaini kwa mujibu wa CCM. Alafu, kama hamjui CCM iko sahihi ktk hili. KWANI serikali ya CCM ndiyo ufisadi...
Wassira! Wassira yupi? Ngoja niwakumbushe Wassira ninayemjua. Mwaka 1995 WASSIRA aligombea u-Bunge Bunda kupitia NCCR-MAGEUZI akashinda baada ya kumwaga rushwa, matusi kwa mzee Joseph Sinde Warioba mgombea wa CCM eti anaumwa UKIMWI (haya siyo maneno yangu, ni hukumu ya mahakama kuu ya Tanzania...
Tusome kitabu hiki. Kisha tuache uoga, TUPAMBANAE na mafisadi kama Nyerere. Kwani uoga, vitisho kuwa CCM ikiondoka madarakani kutakuwa na fujo nchini ndiyo mbinu ya mwisho ya CCM ya mafisadi kubaki madarakani. Huo ni uongo, period.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.