Search results

  1. M

    Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

    Kwani FT ngapi ngapi? Maana update zimekatika ghafla mno.
  2. M

    Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

    Kuna changamoto kibao. Sijui kwa nini tunatumia mfumo wa online. Mfumo umeganda tu. Ni muda gani unakuwa unafanya kazi?
  3. M

    Makambo ni bonge la mchezaji!!

    Hi
  4. M

    Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

    Leo Simba fc wamezawadiwa goli la kuotea lililofungwa na Kichuya dhidi ya Mbeya fc. Inabidi Manara atembee na tv tena atuonyeshe.
  5. M

    Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

    Hizo ni ndogo tena za mwendawazimu nyau kuchukua kombe.
  6. M

    Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Wa kimataifa hao Azam Federation cup
  7. M

    Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Yanga 4-0 Msuva
  8. M

    Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Rufaa ya kupinga matokeo inaandaliwa. Kwa nini Yanga wamemchezesha Chirwa ambaye alikuwa amegoma?
  9. M

    Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Malizia habari hiyo. Nani kafunga ni ilikuwa dk ya ngapi?
  10. M

    Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Naomba mtupashe kinachojiri uwanja wa taifa. Huku wenye umeme wao wamechukua.
  11. M

    Big up to Airtel

    matapeli hao.
  12. M

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Wangebeba ujumbe wa kukisifu sisiemu wangesindikizwa mpaka magogoni kwa mkulu. Ole sasa hakuna atakayewaruhusu kufika ikulu.
  13. M

    Naomba kujulishwa katizo la umeme saa ngapi

    Hotuba ya kikwete ikiisha tu umeme utakatwa.
  14. M

    Media imehama

    jana umeme wamekata, leo tumelazishwa kusikiliza habari ugonjwa. kisa tusijue kinachoendelea bungeni
  15. M

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Mungu wangu hizo silaha zitatumika wapi?
  16. M

    Barrick wasimamisha mgodi.

    Kazeni buti jamani mpaka kieleweke. Wenzenu wa Resolute Golden Pride Nzega wameahidiwa kulipwa mafao yao. Barua imetumwa na SSRA, sababu eti kwa kuwa wanafunga mwaka huu. Wezi hao tusikubali. PIPOOOOOOS POWER.
  17. M

    Ushindi kwa CCM Igunga njia nyeupe

    Tumeshajua mmeshaanza uchakachuaji wa kura. Umetangulia kuandika hivyo ili mkifanya wezi wenu wa kura ili topiki hiyo iharalishe wizi huo.
  18. M

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Nani kafunga bao hilo?
Back
Top Bottom