Search results

  1. D

    Wafanyakazi wa ndani wapo na tunakuletea mpaka nyumbani kwako

    Bw. Issa, sijapendezwa na jinsi ulivyomjibu huyo bwana baada ya kueleza hali halisi ambayo binafsi nilitegemea ungechukua kama changamoto ya kuboresha huduma yako hiyo. Hata hivyo umesema mteja atapatiwa mfanyakazi toka mkoa wowote anaopenda. Napenda kufahamu yafuatayo; 1. Nikihitaji atokaye...
  2. D

    Tunafunga Air Condition AC kwa bei nzuri

    Kuna AC zinauzwa mahali Tzs 5m. Wanaiita multi split, yaani nje ya nyumba ipo machine 1 then inahudumia vyumba 3 hadi 5. Aina ni Daikin, je kwa hii bei ni sawa?
  3. D

    Ubovu wa Jengo na huduma zake.....wapi pa kushtaki?

    Assalam alekum, Ni wapangaji katika jengo moja wapo la kampuni jijini Dar es Salaam. Jengo limechakaaa sana na mmiliki amekuwa mzito kulikarabati pamoja na kulalamikiwa na wapangaji wake wote nane. Jengo lina vuja baadhi ya vyumba, huduma ya maji taka ndio balaa zaidi maana maji taka...
  4. D

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Aisee umesema kitu ambacho hata mimi naunga mkono. Pia my bro amepita huko seminarini kwa miaka 6 MBULU -SANU SEMINARY, kweli naamini wanapikwa tayari kukabiliana na changamoto za duniani. He is doing good things to the society snd his family. He is a leader, entrepreneur, father, ... I believe...
  5. D

    Hindu mandal hospital mjirekebishe kutoa huduma.

    Hospitali mmeiboresha kimajengo naamini hata vifaa baadhi. Tatizo lipo mapokezi madirisha matatu ya Bill na records. File la mgonjwa linatafutwa saa nzima alafu Kuna dada m1 mweusi dirisha no 1 kauli mbovu zisizofaa kwa wateja. Hili nimelishuhudia tarehe 5 na 6 November 2013. nawasilisha.
  6. D

    Gari mpya Fortuna 2013 Model inahitajika

    Salaam! Nahitaji kununua gari aina ya Fortuna hapa Tanzania. Nina taarifa za kuwepo kwa TOYOTA Tanzania kama moja ya wauzaji wa magari mapya. Naomba kujulishwa wapi pengine naweza kupata gari jipya la mwaka 2013. Chaguo la kwanza ni Fortuna ila naweza badilisha kwenda gari lingine linalofanania...
  7. D

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
  8. D

    Kwa Jedwali hizi, kweli Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ni Ngome ya CHADEMA

    Kwa Takwimu zako unaweza kumshawishi mtu asiyejua undani wa hayo majimbo na idadi ya wapigakura/wakazi. Kama unaifahamu Dar es Salaam vizuri, takwimu zako ni sawa na kusema; 1. Soko la Kariakoo tulifananishe na Jimbo la Arusha Mjini - CDM 2. Soko la Mwenge tulifananishe na Jimbo la Monduli -...
  9. D

    Bahati nasibu ya ajabu

    Ngoja nimjulishe ajiandae.
  10. D

    Bahati nasibu ya ajabu

    WanaJF, Salaam, Kuna rafiki yangu kanipigia simu kuwa amepigiwa simu leo mchana kuwa amealikwa kwenda Attlantis Hotel (Dar es Salaam) Kesho jioni yeye na mmewe. Kwamba wameshinda baada ya kujaza form mwezi mmoja uliopita. Form hiyo ilihitaji taarifa zake na familia yake kuwa anaweza kushinda...
  11. D

    Maharage ya Mafuta ya Taa shule za Boys!!!

    Daaaaaaaaaaahhhhhhhhh Umenikumbusha mpishi wetu maarufu alikuwa anaitwa JAMAICA@Makumix. Awali niliwahi kulalamika kuwa wapishi wetu hawapo makini/wazembe hadi mafuta ya taa yanamwagikia kwenye chakula. Kweli usilolijua litakusumbua. Ila kama kweli yanapunguza Ashki, mbona libeneke lilikuwa...
  12. D

    Sophia Simba ni Waziri Bogus

    Ebwana nakuunga mkono kwa ulichosema. Yaani huwezi amini ni waziri naamini ni msomi anaongea kama (samahani)mwanamama wa uswazi ambaye hana elimu zaidi ya std 7 ya bongo. Nimemsikiliza nikawa naona aibu mimi. Wa rwanda ameongea vizuri tena kiswahili kilichonyooka, mama Nkya nae ameongea freah...
Back
Top Bottom