Search results

  1. Brightfame

    Nitumie mbinu gani ili TCRA waweze kuifunga simu yangu iliyoibwa isifanye kazi?

    Niliibiwa simu smart Aina ya TECNO POP 3, nimejaribu kuifuatilia lakini naona gharama za kuifuatilia kama zinakuwa kubwa. Mara toa 70,000/= za printout ya GPS, mara gharama za police kuifuatilia, wananiambia simu iinaonekana kwenye GPS ipo around hapa mjini, cha ajabu wanashindwa kumkamata...
  2. Brightfame

    Mbadala wa bima ya afya

    Nilikuwa nawaza na kutazama mbali kwa maono yangu ya kibinadamu na kujikuta nikijiuliza hivi,serikali kwa nini isiongeze angalau shilingi 50 tuu kwenye kila lita moja ya mafuta ya petroli na fedha hizi zikapelekwa moja kwa moja mahospitalini na kuondoa huu mpango unaoitwa bima ya afya ya Taifa...
  3. Brightfame

    Carbon 14 ni kitu gani? Mbona haitumiki kupima umri wa watu wasiojua siku zao za kuzaliwa?

    Wajuzi karibuni mnieleweshe carbon 14 ni nini na kwanini haitumiki kupimia umri wa watu ambao hawajui siku na mwaka waliozaliwa katika uchukuaji wa takwimu kama sensa,vitambulisho vya taifa na mambo mengine, ilhali tunaambiwa vilipima umri wa dunia, miamba na hata mafuvu ya binadamu wa kale na...
Back
Top Bottom