Wafanyakazi wenu wanapokuja kutuunganishia umeme hasa unapopewa mita mpya wanadai malipo tena kwa nguvu!! Ndiyo utaratibu wenu ?! Mita si tumelipa kwa control number ?! Hizi wanazodai zinaenda wapi ?! Tena wanadai mpaka 50,000/= !! Tuwekeni wazi hapa.
Kwa sababu huishi maeneo hayo, acha wivu wa kijinga !! Kwani barabara za ghorofa za Dar zina faida gani kwa mkazi wa kanda ya ziwa ?! Hata standard gauge utasema haina faida kisa inakwenda bara usipopapenda !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.