Search results

  1. P

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Polisi wa tanzania nimewadharau sana..kweli wakisema hawajasoma ni kweli...mambo ya watu binafsi ndo yanapewa vipaumbele..mtaani huku ni vibaka kila kona
  2. P

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Hivi hizi nguvu zingetumika kupunguza ajali barabarani, au kusaka hao alshaabab, au hawa vibaka wanaotuibia vioo kila siku
  3. P

    Zitto jibu hili tafadhali

    Wenzake wakiwa wanakopa na kuspendi na madem dodoma.yy anawekeza.miaka kumi ni mingi sana kama utaitumia hela ya mbunge vizuri
  4. P

    Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    Yaani wabongo bwana hatuna hata shukurani..mkikurupushwa na mijambazi saa kumi za usiku mbio mnaenda kituoni...kwani.. mda wa kazi hamjui unaisha sa tisa...wafanyakazi wangapi wa serikali wanafanya kazi 24hrs? Mnajisikiria raha tu mkisikia kuwa wameuwawa polisi sita wakipambana na...
  5. P

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Hilo shimo hata ukiwa mita mia mbili pande zote linaonekana.tatizo maderva wote walikua wanashuka mlimani spidi na kila mmoja alitaka aanze kulipita shimo.wanasema kugombea goli.hamadi wakakutana., so ni uzembe ingawa na barabara sio nzuri, mtu makini angeokoa maisha pale..
  6. P

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Wanajamvi mm ndo natoka eneo la tukio.kweli barabara ni mbovu ila kama wenye magari wote wangetaka kuyaokoa maisha ya abiria wangeweza...uzembe nao umechangia..kwa mtu aliekua eneo la tukio ni ajali mbaya sana sana..basi limeng'oa viti vyote uwe na mkanda usiwe na mkanda Kuna wanafunzi wa udsm...
  7. P

    Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

    Mbona ss tuko nao mitaani huku tunakula nao maisha bila shidaa, kwani nyie inakuagajee
  8. P

    Wanajeshi wamenipiga mbele ya mke wangu

    Ila kituo cha police kipo pale pale kaka, wakati mwingine tukiwa na vimwana basi tutajibu vibaya mpaka basi
  9. P

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Acheni sheria ifanye kazi."makamanda wahini arusha"ili iweje. Who is lema by the way
  10. P

    Historia ya Komandoo Tarimo

    Kawaulize waliompeleka huko nje
  11. P

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Tatizo la wasanii ni kudhani wanaweza kuchukua mwanamke anayemtak.kama a 18 yr old anamshinda akili senior bachelor
  12. P

    Babu loliondo na stone age period!!!!!

    ukitaka kuonekana unahekima basi andika vitu vyenye hekma.ulishawahi kukutana na watu wanaosumbuka na magonjwa ww?cancer za utumbo,za koo za damu au presha?kama ww huna ndugu mwenye matatizo hayo unyamaze yasijekupata maana wengine yamewapata kazini au adhari za dawa,sindano.kusema ni result ya...
  13. P

    Lowassa ni kiona mbali

    wazee wetu walilala wakati wenzao wanapigana na maisha na kuwaandalia watoto wao mazingira mazuri na kuibuka akina lowasa.walaumu wazazi wenu.mkiambiwa leteni ushahidi mnasugua meno.ongeeni kama wasomi bwana.stop gossiping.talk with facts
  14. P

    ROse Ndauka duuh

    ooh please!what that
Back
Top Bottom