Search results

  1. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    "Impeachment" discourse haven't been initiated now by the Dems! You shouldn't disremember that, they have been enmeshed in this delusion for three years. These latest moves are not "the first concrete steps to build a case for impeachment", rather the new steps after numerous failed attempts...
  2. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    To get down to the nitty-gritty, let's take a look at some of the things that have shaped my independent views on these issues: (1) So you have democrats jumping the gun publicly that there was a quid pro quo during a conversation between Trump and Zelensky and that Zelensky was pressured to...
  3. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    There is no official impeachment proceeding to date, partisan House Judiciary committee yapping about it doesn't make it so. Dems need a full House vote for that. Probably they haven't found anything to 'impeach' Trump for! To wish the Republicans join the 'impeachment' bandwagon is one thing...
  4. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Kutumia neno 'maskini' katika sentensi yako haikuwa na ulazima wowote, kwa sababu wa kuonewa huruma ni Dems na mashabiki wao kwa vituko vyao. Nafikiri sio busara kujificha kwenye kichaka cha 'Utanzania wetu' au 'jicho la kitanzania' ili kupinga mawazo tofauti hasa katika masuala haya ya US...
  5. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Ushaanza kukimbizana na hili nalo! Mbona utachoka mkuu maana kila lisemwalo kwenye liberal media unalichukua unaanza kutoa updates humu, likionekana ni kimeo unaachana nalo unazoa lingine. Hii ni kwa sababu wewe kama wewe huna mawazo na fikra huru, unaingia kwenye liberal media unaanza kutoa...
  6. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Hivi 'Russia collusion' na 'Obstruction of Justice' zimeishia wapi? Chunguzi za Tax returns na Financial Statement za Trump zimeishia wapi? Madai ya Trump kutajirika kwenye Urais yameishia wapi? Hadi nimesahau zingine! Sasa hivi ni mazungumzo (call transcript) kati ya Trump na Rais wa Ukraine...
  7. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Uchaguzi ungehusisha Senators wote mwaka 2018, GOP wangepata zaidi ya Senators 60. Obama alishinda Urais mwaka 2008, Dems wakatwaa Senate mwaka huo (D-57 vs R-41) - viti 34 kati ya viti 100 viligombewa. Dems wakatwaa pia House (D-257 vs R-178). Miaka miwili baadae (2010) Dems wakapoteza House...
  8. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mkuu Nguruvi3, umeeleza vizuri kwenye post#954, ila paragraph ya mwisho haijakaa sawasawa. AG Barr hakuficha "hoja nzito" au taarifa za grand jury au zingine kwa matakwa binafsi bali kwa matakwa ya kisheria na kikanuni. Ndio maana Dems wapo mahakamani kuomba Jaji aondoe zuio la Barr. Imekuwa...
  9. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mkuu, haya maswali yako Mueller alishayajibu kwenye testimony yake. Baadhi ya waliomuuliza ni Rep. Ted Lieu (D-CA), Veronica Escobar (D-TX) na Mike Johnson (R-LA). Nikukumbushe tu, Mueller alisema hakupendekeza impeachment, hajasema impeachment ni sahihi au lah! na sio kweli kwamba hakum-indict...
  10. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mara nyingi Mueller alishindwa kuelezea hata yaliyomo kwenye ripoti yake (redacted). Mda mwingine aliulizwa maswali ili kuthibitisha jambo anakataa kujibu wakati maelezo yapo wazi kwenye ripoti. Mueller alitegemewa kukazia hoja ya Dems ya "impeachment" lakini matokeo yake mahojiano yake...
  11. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Tatizo umeruhusu kuongozwa na hisia! Hivi ulisikiliza testimony ya Mueller kweli? Hii inaitwa "spinning", jitahidi usiongozwe na hisia! Tunarudi palepale, Mueller ameboronga na amemsha hisia zaidi za watu wengi kutaka kujua chanzo cha uchunguzi wake na uchunguzi wa FBI dhidi ya Trump.
  12. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Hizo ni hisia tu, Trump anakuwa kwenye hali mbaya kwa sababu gani? Testimony ya Mueller? Au McGahn? Au kesi zilizopo mahakamani? Mwanzoni Trump na Republicans walikuwa wakiwaendekeza sana Dems na chunguzi zao uchwara kila mara. Dems na wakereketwa wao wamechanganyikiwa vibaya, ni wa...
  13. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Post #933 ilisema kuna matokeo mawili katika mahojiano ya Mueller kwenye Kamati za Bunge. Mahojiano yameshaisha, na ni dhahiri "Trump alisafishwa once and for all," na "matatizo makubwa ya impeachment" yalizikwa rasmi. Mueller ameboronga sana ni kama vile ile ripoti siyo yake aliandikiwa...
  14. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    First of all, Democrats didn't take control of Congress instead they took over the majority in the House of Representatives (The House). Congress is bicameral comprising of the House and the Senate. Secondly, are you insinuating that Republicans lost control of the House solely because of...
  15. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Wanavyozungumza ni kama tangazo fulani lililolipiwa kwa ajili ya maslahi fulani. Hata hivyo, kuna videos nyingi za watu binafsi wakitoa maoni yao. Mkuu Kichuguu , Mueller ameshatoa hitimisho lake, kila mwananchi anaweza kuwa na maoni yake.
  16. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mag3 Namkazania McCain kwa sababu yeye alikuwa against Obamacare kwa mda mrefu, halafu siku ya kura akageuka! Hao akina Susan Collins na Murkowski sijawataja kwa sababu wao walitegemewa kupinga maana wanajulikana ni moderates. Sijasema Republicans wanamuunga mkono Trump kumponda McCain, ila ni...
  17. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Nimeangalia baadhi ya hizo unazoita 'uongo' kwenye hizo links mbili, na nimegundua kuna maneno mengi tu ambayo yametafsiriwa kimakosa kama uongo. Inawezekana sio kimakosa bali ni kwa makusudi kabisa ili kutimiza ajenda fulani. Kama mtu anaorodhesha na kuweka kumbukumbu ya maneno ya uongo ya mtu...
  18. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    John McCain 'aliharibu sherehe' siku ile, Obamacare ingeshaondoka! Ndio maana Dems wanamsifia sana McCain. Trump ni "tapeli, muongo na mwenye roho ngumu,"!! aisee! mnawezaje kumchukia mtu ambaye hajafanya crime kiasi hicho? Ukisoma comments za Kichuguu kwenye post #898 , za Nguruvi3 ndio kabisa...
  19. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Mkuu Mag3 ,kumbe upo pia interested na majadiliano ya stock market, national debt na inflation??.....nilidhani upo interested na majadiliano ya "impeachment" ya Trump pekee, kutafuta unredacted report na underlying evidence kwa sababu "kuna mengi yamefichwa na Barr kwa mwamvuli wa grand jury...
  20. El Jefe

    Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

    Inaeleweka kwamba ulitaka kuonyesha kuwa taarifa zako zimetoka moja kwa moja kwenye "horse's mouth." Hizo rates kwenye graph yako ya awali, labda ni za 'nominal' lakini sio za 'real' GDP growth, 'latter' ikizingatia mfumuko wa bei. Kuwa halisi (real), zungumzia vitu halisi. Link ya graph...
Back
Top Bottom