Search results

  1. Naja naja

    Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  2. Naja naja

    Ili upate pesa inabidi uwe na pesa

    Mipango mbalimbali ya kimaendeleo huwa inakwama kutokana na ukosefu wa pesa. Umaskini ni adhabu kubwa sana pia umaskini unadhalilisha mno. Ni ngumu sana kutoboa kimaisha ukiwa maskini na hata kwenye kusoma huwezi kusoma kwa raha kutokana na umaskini. Pesa hufuata pesa nyenzake ilipo.
  3. Naja naja

    Nidhamu na outlooking yako ni mambo ya msingi sana yatakayokufanya ufikie malengo mapema

    Nidhamu ni silaha muhimu sana kwenye maisha, iwe nidhamu ya kumuheshimu mtu awe mdogo au mkubwa, nidhamu ya muda, nidhamu ya pesa nk. Muheshimu mdogo hata kama umemzidi umri kiasi gani na jiepushe na kumuita mtu uliyemzidi umri ukamwita "DOGO" , muite angalau mdogo wangu angalau lina sound...
  4. Naja naja

    Nunua daftari na peni leo uanze safari yako ya mafanikio

    Ukitaka kufanikiwa kimaisha anza kwa kununua daftari na peni. Hakikisha kila siku kabla haujalala umeshapanga kesho yako ufanye nini na nini na matumizi gani muhimu uyafanye. Nini ufanye ili uboreshe utendaji kazi wako, maslahi yako, elimu yako, biashara yako nk. Kesho yake kabla muda wa...
  5. Naja naja

    Onyo wanaume walevi punguzeni pombe siku hizi watu wengi wanaingilia kinyume na mazingira

    Ushauri wa bure nawapeni. Usipende kulewa kupitiliza haswa ukiwa sehemu unakunywa peke yako au na watu wasio waaminifu. Siku hizi cases za wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa sababu ya pombe ni nyingi mno. Mtu yupo radhi akuwekee hata varium ulewe akuingilie kinyume na maumbile. Na...
  6. Naja naja

    Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
  7. Naja naja

    Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
  8. Naja naja

    Baada ya kusota sana hatimaye nuru imeonekana

    Baada ya kusota sana mtaani hatimaye nuru imeonekana. Kwa kifupi nilisoma ngazi ya degree lakini sikuweza kuhitimu kutokana na masuala ya kifedha. Misukosuko iliniandama baada ya mzazi kuumwa sana hivyo uchumi uliyumba sana hivyo nilipostpone . Baadaye nika resume masomo hivyo hivyo kibishi...
  9. Naja naja

    Naomba kufahamishwa matumizi ya WHO na WHOM

    Msaada, nisaidieni wapi nitumie WHO na wapi WHOM. Nachanganya sana.
  10. Naja naja

    Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  11. Naja naja

    Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

    Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu? Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
  12. Naja naja

    Jifunze Communication Skills

    Kwenye maisha ya sasa jambo la muhimu la kujifunza ni kuwa na communication skills, skills za kuweza ku interact na kila mtu kwa kuzingatia mapungufu yake na namna ya kuishi naye. Maisha ya sasa asilimia kubwa ya watu wanapenda sana kubembelezwa na kunyenyekewa sana hivyo huna budi kuishi hivyo...
  13. Naja naja

    Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

    Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna. Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini Viwanda vingine navyo vimefungwa na...
  14. Naja naja

    Maisha magumu mpaka nataka kuwa mshirikina

    Maisha magumu sana mpaka nataka kujaribu ushirikina watu wananishauri huenda nyota yangu imefifishwa maana kila jambo linaishia njiani na kuharibika kabla halijafanyika. Nimeshaahidiwa kazi hata humu JF na baadhi ya members lakini ghafla ukungu unaingia mtu anaingia uzito hatimaye ananipotezea...
  15. Naja naja

    Siku hizi watu hawanyimani chakula

    Zama zimebadilika. Siku hizi huwezi kulala njaa kama huna uso wa aibu. Ukienda kugonga kwa jirani au ndugu ukimuelezea kwamba una shida ya chakula hujala hawezi kukunyima chakula hata kidogo. Tena utapewa ofa kabisa uende kula hata kama ni kila siku chakula kitakachopatikana mtagawana tu...
  16. Naja naja

    Je, upo uwezekano wa kukariri darasa kwa Mwanachuo?

    Inafahamika kwa ngazi za chini za elimu mathalani elimu ya sekondari mwanafunzi akiona ana mapungufu sehemu anaomba kukariri darasa na anakubaliwa bila tatizo lolote,je jambo hili kwa ngazi ya chuo linawezekana au mpaka mwalimu aamue kukukaririsha darasa kilazima na si wewe mwanafunzi kwa...
  17. Naja naja

    Wakati mwingine Connections ni chanzo cha kukosa ajira

    Wakati mwingine kujuana na watu wengi (kuwa na chain/connection ya watu wengi) ni sababu tosha ya kukukosesha ajira. Baadhi ya sehemu watu wanajipatia pesa kwa njia za ujanja ujanja sasa ukienda kuomba kazi na wakikuchunguza unajuana na watu wengi ni rahisi sana kukukosesha kazi hata kama wewe...
  18. Naja naja

    Maisha magumu sana ila nina imani ipo siku nitafanikiwa

    Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa. Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
  19. Naja naja

    Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

    Kuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako. Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi...
  20. Naja naja

    Natamani ningefeli Form Four kwani leo nisingezidharau baadhi ya kazi

    Natamani safari yangu ya elimu ingeishia Form Four au Darasa la Saba; bora nisingefaulu na kuendelea na elimu ya juu zaidi. Ukishafika kiwango fulani cha elimu ni ngumu sana kufanya baadhi ya kazi mf; ukondakta, upigaji debe, kuuza karanga, kuokota makopo, kuuza genge nk, maana ukifanya hivyo...
Back
Top Bottom