Search results

  1. K

    Nyumba inapangishwa boko

    Weka gharama zake Mkuu!
  2. K

    Mapya yaibuka kuhusu baba wa diamond

    Jiji nasikia baba wa Diamond alikuwa Mnyiramba, huyo anayedai ni kabila gani?
  3. K

    Ajali ya Basi la ABOOD toka Morogoro

    Hapo penye bold umenichekesha sana babu kijana
  4. K

    Picha. . . .

    Hapo ongezea Kongosho na watoto je waliofanana na baba au mama nao inakuwaje ili kupoteza kumbukumbu?
  5. K

    Wasichana huwa wanaanza kutulia na mpz mmoja wakiwa katika umri gani?

    kama wanaume walivyozaliwa na baba mmoja na mama mmoja
  6. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    nasubiri kwa hamu aje akanushe Kaka sio kitu unaweza kukitungia uongokama unavyofikiri ili nipate faida gani, au sifa gani kuna vit vinaumiza kwenye mahusiano
  7. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Husninyo mzizi wa tatizo nitaeleza siku nyingine sio leo, na hata nikieleza watasema wanataka upande wa pili, leo nimetoa hili kwanza mamii nahitaji msaada waq mawazo tu
  8. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    usilolijua ni sawa na usiku wa giza, alishawahi kuwachukua watoto na kuwapeleka nisikokujua miaka miwili, nilipeleleza nikajua wanakosoma nikaenda ile shule HM akaniambia wale watoto hawana mama yule bwana alimweleza mama yao alishakufa, baadaye watoto walimsumbua alinifuata akanikabidhi watoto...
  9. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    unaelewa nilichokiongea au unaanza tu mashambulizi nimekuudhi na nini, una ona raha mtoto kukosa nafasi ya kusoma kwa ajili ya tu baba ana chuki dhidi ya mama?
  10. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    BMP baba amehusishwa na anajiweza kiuchumi sana, tatizo liko ananikomoa na kutafuta kuniumiza kupitia mtoto, ana uwezo mara 100 yangu
  11. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    asante Kaka bujibuji nyumba zinaficha mambo mengi, kama tungekuwa tunaishi porini kama wanyama sijui ingekuwaje
  12. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokeza
  13. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye
  14. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    kweli kabisa Husninyo
  15. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Hata mimi naanza kuwaza hivyo maana anvyoshadadia du, yaani anaona ni kitu kizuri sana kilichofanyika kumwaribia mtoto maisha yake
  16. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Asante sana mpendwa nitazingatia ushauri wako
  17. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    hanikomeshi mimi anamkomesha mwanae, taarifa alikuwa nazo sijamdharau wala kuacha kumshirikisha jambo ila ni yeye ndio anadharau,
  18. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    kuachana sio sababu ya kumtesa mtoto ugomvi wetu sisi usingemwingiza mtoto ambaye hana hatia wala hakuomba azaliwe, huwezi ukasema kila kitu maana sindano inavyouma anajua uchungu wake yule aliyechomwa nayo
  19. K

    Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Asanteni sana kwa ushauri wenu mmenitia moyo sana, nawashukuru wote, mungu awabariki sana, nawatakia jioni njema
Back
Top Bottom