Search results

  1. mensaah

    Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

    Mada nzuri, ila namsahihisha mleta mada. Gharama ya toto Afya ni Tsh 50,400/= kwa mwaka
  2. mensaah

    Nahitaji kujifunza kuzungumza kiswahili sanifu; tuanze na neno timbwili

    Hakuna kitu kinanikera ninaposoma sentensi nakuta badala ya r inawekwa l na mbaya zaidi unakutana na msomi kabisa halafu vitu vidogo kama hivyo ameharibu. Mfano kura inaandikwa kula. Hivi shida ni nini Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mensaah

    Miaka 37 Vs miaka 24...

    Ina maana hujui kutofauyisha r na l, umenikera hadi nimeshindwa kumalizia kusoma uzi wote. Eti Mpila badala ya Mpira Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mensaah

    Kampuni za Bima: Dawa hii ipo nje ya Bima, itabidi ulipie cash TZS 30,000/-

    Ipo hivi vipimo na dawa zinatolewa kulingana na miongzo ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii. Bima wanafuata miongozo hiyo. Sasa kwa kila kipimo na dawa zinatolewa kulingana na ngazi ya kituo. Kama kituo kikitoa huduma ambayo hakiruhusiwi kisheria basi hawatalipwa huduma waliyotoa na bima iwe...
  5. mensaah

    Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

    Tunduma Tsh 2000/= Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mensaah

    Je, kukaa pamoja nyumbani kwa muda mrefu kunawafanya mahusiano yenu kushamili au kuvurugika?

    Hivi tatizo nini hadi baadhi ya watu wanachanganya mambo madogo kama hayo, tena utakuta naye anajita msomi wa chuo kikuu. Nikiona mtu ameandika l badala ya r au r badala ya l inanifanya nakosa hamu ya kuendelea kuchangia au kusoma . Mbaya zaidi wanaharibu hadi majina ya watu kwa kukosea baadhi...
  7. mensaah

    Tujifunze kabla hujawa kwenye ndoa usimuweke mpenzi wako openly ipo siku utajuta

    Kwa story yako inaonekana wote bado watoto ni bora shule zifunguliwe mrudi shule Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mensaah

    Serikali yatangaza bei ya kikomo ya Sukari; ipo kati ya Tsh. 2,600 na Tsh. 3,200 kwa kilo kutegemea na Mkoa

    Kweli nchi hii kuna utofauti sana juzi nimenunua kilo 30 kwa Ila kilo 1800, hizo 2500-4000 ni kama sipo tz Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mensaah

    Nimeshindwa kuvumilia, nimemnasa vibao fundi

    Dah, hapo hatarudia na umemkomesha maana hela ilivyo ngumu yeye anachezea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mensaah

    Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Shida wahudumu wa Afya hawana PPE hivyo hawawezi kurisk maisha yao wakati viongozi wamejifungia manyumbani mwao. Mafunzo ya kuhuduma waathirika hayana maana kama vitendea kazi PPE, madawa na ventilators hakuna so unategemea huduma watatoaje kwa mazingira ya namna hiyo Sent using Jamii Forums...
  11. mensaah

    Ukakasi wa majibu ya Naibu Waziri juu ya ongezeko la bei ya Sukari Nchini

    Hata kwa sasa Tunduma sukari 2000 kwa kilo hivyo tunavyosikia sukari 3000 watz wa mpakani wanashangaa maana wao wananunua 1800-2000 kwa kilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mensaah

    Dpp 250 - printer... Machine ya kutolea lisiti

    Hivi umeshindwa kuandika RISITI badala ya LISITI yaani huwa nakereka nikiona wanaochanganya R na L Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mensaah

    Tunauza nguo za kiume

    Mimi nashangaa Dar unauza kadeti 22000 wakati mikoani kadeti hizo hizo tunachukua kwa 18000 tena hazipauki. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mensaah

    Mabaharia mnaopenda vyura,walisheni vinono wenzi wenu ili waongezeke

    Mkuu usiku huu badala ya kulala wewe unawaza chura, hatari sana kwa maendeleo
  15. mensaah

    Msaada :Majibu ya ultrasound

    Soma (google) placenta previa utaelewa tukianza kuandika itakuwa ndefu
  16. mensaah

    Kenya imekuwa nchi ya tatu barani Afrika baada ya Ghana na Malawi kuzindua chanjo ya Malaria

    Kila siku chanjo mpya zinaanzishwa barani Africa, hivi wataalamu huwa wanafanya tafiti zozote kujiridhisha kama hazitakuwa na madhara ya baadae kwa watoto au kwa kuwa ni msaaada basi ni mwenda wa sindano tu au matone Kuna nchi zenye malaria nje na bara la Africa mbona hatusikii kama chanjo hiyo...
  17. mensaah

    Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Kuzaa kwa operation kunaweza kusababisha tumbo kuwa kubwa kwa sababu misuli ya tumbo inalegea ila sio wote wanakuwa hivyo sometimes inategemeana na mwili wa mtu
  18. mensaah

    Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Si kweli kwamba mimba ya kwanza ukipigwa kisu basi mimba zinazofuata lazima upigwe kisu tena, inategemeana na sababu iliyopelekea ukafanyiwa operation. Kama sababu iliyopelekea ukafanyiwa CS mara ya kwanza haipo kwenye mimba ya pili unaweza kujifungua kawaida ila muhimu kuwepo hospital inayoweza...
  19. mensaah

    Hakika Gaddafi amenitoa machozi, upendo wake uliokithiri uzalendo ndio huo uliofupisha maishA yake

    Kwa sasa wana Libya wanaisoma namba baaada ya kumsaliti Gaddafi
  20. mensaah

    Pata mkopo chap ndani ya masaa 24

    Hawa jamaa ni kama matapeli, wanavyochukua mikopo watu hawafafanui vizuri kwamba riba yao in 7.5% kwa mwezi hivyo kwa mwaka ni 90%. Sasa hapo utata unakuja pale mtu anapokopa halafu baada ya muda anajua deni limeisha kumbe ndio kwanza limeanza. Kuna siku walikuja kazini kuinadi kampuni yao sasa...
Back
Top Bottom