Search results

  1. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Hapana mkuu sio hiyo, japo hiyo nyumba pia naijua, Yangu siiuzi
  2. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Asante mkuu kwa ushauri mzuri, kwanza kwa kuchukulia mkopo kwa kutumia hili eneo langu hapana mkuu, nyumba na eneo ina zaidi ya thaman ya 250M kuchukulia mkopo kwa ajili ya kitu cha 5M ni ngumu, kwa elimu yangu ya mambo ya mikopo pamoja na changamoto ya marejesho kwa sasa siwezi kuweka rehani...
  3. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Upande nimeweka wapangaji, lililobaki nahitaji kulitumia mwenyewe
  4. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Hilo ni lakujadili mm nayeye kuona tutawekeza kiasi gani ili tufanikiwe!
  5. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Ndio nina hati yake, na lipo mwenge near TRA
  6. M

    Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa nyama, kama tutatengeneza mabanda tunaweza kufuga kuku zaidi ya 1500, eneo lina ukubwa wa zaidi ya...
  7. M

  8. M

  9. M

    Ni kwanini Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda hasemi chochote juu ya mwendokasi?

    Habari Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda hakika mara kadhaa tumeona juhudi zako juu ya jiji letu pendwa. Umekua mtetezi wa wanyonge na wasiojiweza hapa jijini pia na mikoa mingine ya Tanzania, ila ni muda mrefu sasa wananchi wa jiji lako tumekubwa na adha kubwa ya usafiri wa mabasi...
  10. M

    Nahitaji gari mdogo aina ya IST, Passo au Spacio

    Wakuu nahitaji gari aina ya IST, Passo au Spacio, namba D itapendeza zaidi ofer itatokana na gari mana najua hizo hapo juu zinatofautiana bei, pia kama kuna ambayo kati ya hizo haijasajiliwa bado nikasajili kwa jina langu itakua poa! pia hata kama ni ya Yard bei ikiwa nzuri nitanunua. Nipo...
Back
Top Bottom