Search results

  1. K

    Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Ndio mnipe channel za hayo masoko
  2. K

    Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Wanataka mayai ya maabara. Mzungu mtu mbaya sana.
  3. K

    Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Habari wakuu, Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji. Karibuni sana. Ninapatikana Dodoma Mjini.
  4. K

    Nimesikitika sana taasisi yenye dhamana ya kusimamia Lugha ya Taifa (Kiswahili) kukosa jenereta pale unapokatika umeme

    bora umeme....mimi nilienda kufanyiwa translation ya vyeti. yaani wino umefaint, maandishi hayaonekani kabisa....niliumia roho na wakati nimetoa 30 elfu kwa kila cheti. inaumiza kiukweli.....huduma mbovu mbovu.
  5. K

    Uhamisho kutoka wizara moja kwenda wizara nyingine

    NDUGU, ulifanikiwa kupata kibali na ilikuchukua muda gani
  6. K

    Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

    Uaminifu ni mlango wa mafanikio...usije ukaingia tamaa. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
  7. K

    Kuhusu kuhama taasisi

    hivi kwa sasa ule mfumo wa makaratasi haufanyi kazi
  8. K

    Kuhusu kuhama taasisi

    sijui kwanini inakuwa hivi?
  9. K

    Hivi kwanini ajira za lecturers zinakua readvertised sana?

    Ph.D kuipata ni kasheshe. Ni mara chache sana mwenye Ph.D kuwepo mtaani hana kazi.
  10. K

    Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    Haka katabia kametamalaki kakuficha barua.
  11. K

    Nimeomba uhamisho nikajibiwa nitafute wa kubadilishana naye, nahisi kukosa haki yangu

    Hivi kibali cha uhamisho toka kwa katibu mkuu utumishi huchukua muda gani hadi kutoka.
  12. K

    Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    hIvi kuna uwezekano taasisi unayoomba nafasi ikakuombea kibali utumishi cha uhamisho?
Back
Top Bottom