Tanzania kodi ya Utalii iko juu sana. Wakati fulani nilipanda mlima Kili na nilipata wasaa wa kuzungumza na wageni mbalimbali, wengi walisema kodi ya, hapa sio rafiki.
Fanya mazoezi, Tembea au kimbia x 3 kwa wiki angalau jumla 15km
Piga push up, squart, jumping jack, stretching
Pata jua la asubuhi kwa ajili ya Vitamin D
Pata supu ya kongoro japo mara 4 kwa wiki
Pata usingizi wa kutosha katika mazingira yenye ubaridi
Punguza stress
Practice Pranic yoga...
Hatuna Wataalamu wa Majadiliano(Negotiators)
Rais Kikwete Kuna muda aliwahi kukiri hili na kuomba nchi moja ya Ulaya isaidie kuwafunza Watanzania namna ya kujadiliana mkataba.
Kuwa Mwanasheria nguli kama Profesa Kabudi Bado hakukupi ujuzi na Sanaa ya kufanya majadiliano, matokeo yake ni mkataba...
Kuna kitu muhimu katika uzi wako umekiacha tena kwa makusudi.
China hawakukaribisha Wawekezaji tu bila kuangalia Maslahi yao. Kitu cha kwanza walisomesha vijana wao na kwa hiyo Wawekezaji walipoenda China kulikuwa na sharti la kuajiri vijana wao. Vijana walioajiriwa walipopata mitaji...
Usanifu nao ni hoja, si sawa kujenga ofisi kuu ya Serikali katika karne hii kwa sanifu ya Seraseni ya mwaka 1922. Tunashauriwa kutunza majengo ya zamani, lakini katika ujenzi mpya ni vema kuangalia wakati wa Sasa na ujao
Jengo lenyewe la Ikulu usanifu kama wa lkulu ya Magogoni, inasikitisha na hii ni athari ya "Mamlaka ya Rais".
Pia Jengo la Bunge Kuna uhaba mkubwa wa nafasi kabisa wakati Dodoma haina uhaba wa ardhi.
Hakuna namna ya Kuvunja Muungano, si kwa katiba ya Muungano wala Mkataba wa Muungano.
Sababu zilizopelekea kuwepo kwa Muungano ni nyingi baadhi ni kama ifuatavyo:-
Mosi ni Shauku ya Nyerere juu ya Afrika moja,
Pili ni hofu ya Karume juu ya kuatamia mamlaka ya Utawala wa Zanzibar,
Tatu ni...
Shaka alikuwa tafsiri halisi ya "Chawa wa Mama". Chama kinahitaji mtu anayeelewa Itikadi na si kumsifia Mama tu
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Mambo mengine yanaudhi mpaka mtu unatamani kulia. Mwalimu alikuwa ameacha madini ili baadae yaje kuchimbwa wakati tunaweza kupata faida iliyo stahiki.
Matokeo yake sasa, madini yamechimbwa na tumeachiwa mashimo na hakuna cha kujivunia
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Mambo mengine yanaudhi mpaka mtu unatamani kulia. Mwalimu alikuwa ameacha madini ili baadae yaje kuchimbwa wakati tunaweza kupata faida iliyo stahiki.
Matokeo yake sasa, madini yamechimbwa na tumeachiwa mashimo na hakuna cha kujivunia
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Ni kweli, Uhuru wa Tanganyika inaonekana Nyerere pekee ndiye aliyeupigania, kama ilivyo kwa Mapinduzi ya Zanzibar Karume ndiye ameandikwa kama Shujaa katika Historia
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Langi ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda kulelewa na mjomba wake pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.