Search results

  1. NG'WENEKELE

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Kutaja kwa kuhisi?Mdomo uliponza kichwa.
  2. NG'WENEKELE

    Mdahalo wa Mengi na Manji wa leo ni saa ngapi?

    Mengi zee zima linalialia kutaka lionewe huruma
  3. NG'WENEKELE

    Malipo ya salio la sensa

    Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na Mnyika huu?Tunaelekea kuchoka kusubiri.
  4. NG'WENEKELE

    Muhimu kwa wenyeji wa Geita Mwanza

    Jamani mwenzenu nimemaliza Chuo mwaka jana mwezi wa 7. Nahitaji ajira inayohusiana na Law, Administration, Customer care, Policy Advocacy, Human Resource n.k. Anayeweza kunisaidia tafadhali namba 0683777792. Tusaidiane tusitupane wapendwa.
  5. NG'WENEKELE

    Nafasi ya kazi

    Aksante mganga kwa ushauri na msaada wako.nitauzingatia.
  6. NG'WENEKELE

    Nafasi ya kazi

    Natafuta kibarua,nimetembeza CV mpaka viatu vimeisha sole.nimesoma law UDSM,ni male,nina umri wa miaka 27.Naweza fanya kibarua chochote chenye mshahara wa angalau 400000 kwa mwezi.nisaidieni kwa number 0683366196/0712815071.Mungu awabariki.
  7. NG'WENEKELE

    Natafuta kazi ya kuanzia maisha ya mtaa

    Ok saint ivuga,nawezaje wasiliana nawe?please let me have your contact.
  8. NG'WENEKELE

    Natafuta kazi ya kuanzia maisha ya mtaa

    Jamaa zangu,mimi ni graduate.natafuta kazi ya kuanzia maisha mtaani yenye mshahara angalau wa sh.300,000/= kwa mwezi.anayeweza kunisaidia call 0712815071 au 0767815071 NIMESOMA LAW,UNIVERSITY OF DAR,UMRI MIAKA 26,NIPO DAR,NA NI MWANAMME.
  9. NG'WENEKELE

    Mnyika tafadhali soma hii

    Juzi nikiwa natizama kipindi cha daladala kinachorushwa na itv kila siku saa moja jioni.kuna tetesi mh. J.mnyika umechukua ela kutoka kwa magari ya maji taka ili yaendelee kumwaga maji taka hayo katika mabwawa ya kiwanda cha urafiki yaliyopo mabibo.je tuhuma hizi zina ukweli?tujulishe wapiga...
  10. NG'WENEKELE

    Maoni ya Thomas Nyimbo kuhusu hotuba ya Kikwete na hatma ya Tanzania

    asanteni sana,jina mashuhuri sana ila alikuwa amenitoka kidogo. mawazo mazuri sana, yanatoa ufumbuzi kwa maswali mengi. Naskitika hayawezi kufanyiwa kazi ila thanx God ujumbe utakuwa umefika.
  11. NG'WENEKELE

    Maoni ya Thomas Nyimbo kuhusu hotuba ya Kikwete na hatma ya Tanzania

    Gerrad, hembu nikumbushe, Nyimbo ni nani?
Back
Top Bottom